Hebu Tengeneza kikosi kimoja cha soka toka kwa wachezaji wa club mbalimbali duniani

Hebu Tengeneza kikosi kimoja cha soka toka kwa wachezaji wa club mbalimbali duniani

tuko pamoja but ondoa Oblak, Marcelo, Modric & Guardiola na weka Alisson, Davies, Pogba & Klopp.
Oblak is better than Alisson
Davies hana experience
Pogba bishoo
Klopp ni mzuri ila napenda ball possession zaidi
 
1.Bern Leno - Arsenal
2.Walker - Manchester City
3.Robertson - Liverpool
4.Ramos - Real Madrid
5.Koulibaly - Napoli
6.Partey - Atletico
7.Ronaldo - Juventus
8.Kelvin De Bruyne - Manchester City
9.Rewandosky - Bayern Munchen
10.Neymer - PSG
11.Messi - Barcelona
Rewandosky😁😁😁 Neymer😀😀 wacheza rugby nn
 
Kuanzia kocha, kipa mpaka foward

Wachezani watoe kutoka club yoyote duniani ili kuwapata first 11 yako. Yaani namaanisha changanyachanganya wachezaji. Wasitoke timu moja.
4-4-2
1.K.Navas
2.Trent Alexander Anold
3.Marcelo
4.S.Ramos
5.Fabio Cannavaro
6.Andrea Pirlo
7.Cristiano Ronaldo
8.Toni Kroos
9.Robinho
10.Aguero
11.Arjen Robben

Coach Joachim Law
 
1- Allison becker-liverpool
2 - Anold-liverpool
3 - Davies-bayern
4 - Sergio ramos
5 - Van dijk
6 - Koke
7- Messi
8 - Me bruyne
9 - Lewandowsk
10 - Fernandes
11 - Morrison-Simba

Kocha klopp
Kocha Julio sub Manara.
 
Gk:Emmy Martinez

RB:TAA

LB: Alphonce devies

LCB: Gabriel meghales

RCB:VVD

DMF:Thomas Partey

CM:Houssem aour

AMF:Mesut ozil

RW:Said Benhraman

LW:Son Hueng Min

CF: Pierre-Emerick-Aubameyang

Head coach:JK

Assistant coach:Mikel arteta

Team Manager: pep Gurdiola.
 
Kuanzia kocha, kipa mpaka foward

Wachezani watoe kutoka club yoyote duniani ili kuwapata first 11 yako. Yaani namaanisha changanyachanganya wachezaji. Wasitoke timu moja.
1.De gea
2.Kapombe
3.Robertson
4.Soyuncu
5.Thiago silver
6.Fred
7.Mane
8.Jordan Hendason
9.Samata
10.M. Mount
11.Neymer Jr

Coach Diego Simeon
 
1😱blac
2:Arnold
3:Marcelo
4:Mwamnyeto
5:Ramos
6😛arty
7:Mbape
8:Toni kroos
9:Rinaldo
10:Messi
11:Neymar
SUBS
1:Never
2:Walker
3😀avis
4:Varane
5:Laporte
 
Back
Top Bottom