Hebu tu-rewind mkanda..Wema Sepetu na marehemu Steven Kanumba..(R.I.P)

Mie namshangaa domo hela anayo hataki kujipiga msasa kichwani angeenda kusoma evening program ila kaamua kuwekeza kwenye kutafuna mbunye mjini kweli ushamba mzigo

Ujinga ni mzigo tena wa moto
 
queenkami, nakupenda bure shosti.
Achana na hao wanaokupa ushauri hewa.
Wameona wema kawazidi.
Hahaha!
 
Last edited by a moderator:
Y kuhamisha private life kuipeleka kwenye public ndio ushamba hasa alofanya domokaya. Alasfu eti anamshauri amshauri kwanza domo ndo aje kwa Wema.

wema unachekesha leo unamwita diamond domokaya wakati kakunyonya na kukula kabang vya kutosha, kweli wema we hatari...btw naitamani sana 0713 yako usipime kila nikiona kabang yako moyo badunda dunda...
 
queenkami, nakupenda bure shosti.
Achana na hao wanaokupa ushauri hewa.
Wameona wema kawazidi.
Hahaha!

love u too best wangu Madam B.
Wema kawazidi ndo maana kuna baadhi hawataki tumshauri maana wanaona atazidi kuwafunika.
 
Last edited by a moderator:
Wema mi nakufagi sana nilishangaa yaan we domokaya ndo linakukosesha amani? we ni mrembo unavutia achana na sen*ge hilo linatabia za kiumbea kama jike.kula maisha mamii kwa raha zako mashabik wako tupo.kwanza cjui kwa nn hilo domokaja wala huendan nalo lisikupe mikosi achana nalo.
 
love u too best wangu Madam B.
Wema kawazidi ndo maana kuna baadhi hawataki tumshauri maana wanaona atazidi kuwafunika.

Watajua wenyewe na roho zao mbaya.
Ni vizuri kumshauri msichana mwenzetu ili hata kama moyoni ataamua puuzia, basi ni swala lake binafsi.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Dada akili zako ni ndogo sawa na huyu Domo Chapati. Attention seeker.

[h=5]




Diamond"Ni kweli Nilimrecodi Wema ila Sioni kosa Langu Siwezi Mwomba Msamaha"





Skendo iliyokuwa ikiendelea mtaani kuhusu msanii Diamond na tuhuma za kumrekodi aliyekuwa mpenzi wake wa zamani mwanadada Wema Sepetu, msanii huyo amekir kuwa ni kweli alifanya tuhuma hizo kwaajili ya kulinda penzi lake.





“Hivi karibuni Wema amekuwa akinipakazia mbovu kwa mpenzi wangu Penny akiwa na leno la kutaka kuni haribia juu ya mimi na mpenzi wangu, nilichukia sana kwahiyo siku alivyoamua kunipigia simu ndipo niliamua kumrekodi ili kumsikilizisha Penny ambaye alikuwa haniamoni kabisa” Alifunguka Diamond.





Sauti hiyo ambayo ilitoka kwa Wema Sepetu ikiwa inambembeleza Diamond waweze kurudiana pamoja kwakuwa bado anampenda, Diamond amekiri kuirekodi hiyo sauti lakini amekana kuisambaza mitaani na hajui nani kafanya hivyo.





“Lengo langu kubwa ilikuwa ni kurekodi sauti hiyo na kumsikilizisha Penny, sasa ambaye aliichukua na kuisambaza mitaani sijui ni nani, lakini hata mi sikujisikia vizuri nilipoisikia mitaani maana sikupenda hali iwe hivyo lakini ndo sina jinsi” aliongeza Diamond.





Baada ya kukiri kujutia, Diamond aliambiwa aombe msamaha Live ili Wema asikie ila alikataa na kusema hawezi kumuomba msamaha maana haoni kosa lake.

[/h]
 
wema unachekesha leo unamwita diamond domokaya wakati kakunyonya na kukula kabang vya kutosha, kweli wema we hatari...btw naitamani sana 0713 yako usipime kila nikiona kabang yako moyo badunda dunda...
Ukiambiwa una akili kama za Diamond ni tusi kubwa, na ukiambiwa una Domo kama la Diamond pigana mpaka ufe.

Sasa naanza kuamini si bure, kwa 100% hili Domo linatumia jina la Wema Sepetu kujipigia Promo. huyu ni Falla tu.
 
diamond piga kazi na nenda kny ibada umuombe mungu akuepushe na hawa wakorofi wa mtandaoni,roho mbaya tu......eti tusiende kny show yake,WOMAN WHO THE HELL DO YOU THINK YOU ARE???show ya diamond tunaenda na VITENGE VYAKO HATUNUNUI.....pumbafu kabisa
 
diamond piga kazi na nenda kny ibada umuombe mungu akuepushe na hawa wakorofi wa mtandaoni,roho mbaya tu......eti tusiende kny show yake,WOMAN WHO THE HELL DO YOU THINK YOU ARE???show ya diamond tunaenda na VITENGE VYAKO HATUNUNUI.....pumbafu kabisa
Labda kwenye ibada za majini na Mungu wa Lucifer.
 
Tunashukuru kwa kutu riwaindia mkanda wa kanimba na wema

ila nahisi it was supposed to be" mkanda wa Wema na daimond" na siyo Kanumba
 
Maelezo yako safi sana yamejitosheleza na yapo kiprofesheno,ila umeniudhi sehemu moja tu uliposema 'JOKATE ANAJIHESHIMU'

na mie hiyo ya JOKATE ANAJIHESHIMU imeniacha hoi he he he he he he he he
 
mmmmmmmmmmh tunashukuru kwa kutu rewaindia mkanda

lakini mkanda uliotakiwa kuu rewind nahisi ulitakiwa uwe wa diamond na wema.....

kanumba ungem mention tu ka kina jumbe
 

hakika nimependa haya maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…