Hebu tuachieni Yanga yetu

Hebu tuachieni Yanga yetu

prezdesho

Senior Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
150
Reaction score
78
Waswahili wanamsemo unasema "pili pili ya shamba inawawashia nini".Nikianza na mzee akili mali hii siyo mara yako ya kwanza kuchafua hali ya hewa mara kibao umekuwa ukifanya...

Tukikumbuka sakata la mwaka 2003 yanga kampuni na yanga asili wakati yanga ikiwa chini ya nchunga wewe ndiyo ulitengeneza makundi ya ndani kwa faida zako binafsi...hukuishia hapo wewe ndiyo uliyekuwa ukimkingia kifua manji kwa mengi tena namaandamano leo hii unamgeuka?

Ulichokuwa hukijui wakati ule nikuwa manji atakuja na utaratibu wa kisasa katika utendaji hivyo vile vihela vya dezo hamtavipata tena..Sasa kinachowashitusha zaidi nyie wazee timu ikikodishwa hatamia hamtapata tena na ndiyo maana mnamtaka manji afanye kimoja uwenyekiti au ukodishaji zama zimebadilika wazee tunahitaji busara zenu ila mawazoyenu siyo lazima.....

Na hivi unataka manji aache timu mzee akilimali tukupe mchezaji mmoja tu umuhudumie kwa msimu mmoja kama utaweza....

Acheni kukariri sisikama wanachama tunahitaji mafanikio kama anapata faida na maendeleo tunayao huyo huyo aendelee...usiwe kama simba wanamuuzia mtu timu ila kwakuwa limebadilika neno kuuza limetumiwa neno hisa basi wanafurahi kumbe wameliwa
 
Manji tumeona juhudi zake jinsi anavyojitolea kuisadia Yanga kwa Hali na Mali,hata akikodishiwa miaka Mia sawa tuu ili mradi final result tunaziona kwa macho sisi wenyewe wanachama wa Yanga. Hao Wazee waache njaa zao,kwanza hata wao wakiwa na timu sisi wanachama wa kawaida hakuna tunachonufaika nacho zaidi ya michango ya mara kwa mara inayoishia mifukoni na matumboni mwao.
 
Back
Top Bottom