Uchaguzi 2020 Hebu tuambizane ukweli, Magufuli anatumia kigezo gani kusema atashinda Uchaguzi?

Kwani alikwishasema vitu vya maana huyo zaidi ya kutamka"mwanamke"
 
Vigezo:

Tume ya Uchaguzi
Msajili wa vyama
Vyombo vya usalama
 
Kinachoifanya ccm kuendelea kuwepo madarakani kama bado kipo basi ni lazima Magufuli awe na uhakika wa kushinda uchaguzi,maana miaka yote tunaambiwa ccm inaiba kura na hata vyama vya upinzani vilipoungana bado ccm ilishinda sasa ndio itakuwa sasa kila chama kinapambana kivyake? hivyo Magufuli lazima ajihakikishie kushinda maana hakuna kilichobadilika silaha zao za ushindi.
 
Anaingia na mtaji wake wa 2015 na kisha UTENDAJI BORA kwa miaka mitano anayomalizia. Wenye chuki banafsi ni WACHACHE SANA kiasi ambacho hakimshtui mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…