Uchaguzi 2020 Hebu tuambizane ukweli, Magufuli anatumia kigezo gani kusema atashinda Uchaguzi?

Tuhuma kubwa aliyoveshwa Lissu na daktari Mahera ni kuwa anajitangaza kuwa atashinda uchaguzi.

Mbona tuhuma kama hizo hajashutumiwa nazo jiwe? Jibu ni rahisi - double standard!
 
numbers dont lie
 
Tume wenyewe wanasema wananchi wanataka barabara na sio blah blah... watamtangaza nani.
Upinzani ni kama yatima anayeishi nyumba moja na watoto wa tajiri anayemlea.

na ni yatima kweli kweli, umeona ile ofisi ya ufipa juzi? yaani ni yatima ++
 
Ungeanza kuweka kwanza vigezo vya kwanini atashindwa ndio uulize hilo swali
Wanafunzi wa secondary na shule za msingi anaowahutubia kwenye mikutano yake hawapigi kura
 
Tuhuma kubwa aliyoveshwa Lissu na daktari Mahera ni kuwa anajitangaza kuwa atashinda uchaguzi.

Mbona tuhuma kama hizo hajashutumiwa nazo jiwe? Jibu ni rahisi - double standard!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…