Sasa mzingira ya MO yalivyokuwa ya Kipumbavu vilee wewe unashindwaje kuamini wahusika wale wale wamefanya Movie ya Kipumbavu kwa lissu...???Yah,kama nilivyoeleza kuwa Mimi hoja yangu ni mazingira ya tukio na sio nani muhusika. Kwamba hili ni tukio serious au kuna agenda nyuma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tufanye wahusika ni walewale. So tukubaliane ni fake movie. Na tukubaliane wahusika hawakuwa na lengo la kuua na sio wauaji na ndio maana waliishia kupiga ovyo risasi na hakuna risasi iliyompata kwenye spinal cord. Kama lengo lingekuwa ni kuua hakuhitaj risasi 38.wala kuingia na gari hadi ndani kwa lisu.Sasa mzingira ya MO yalivyokuwa ya Kipumbavu vilee wewe unashindwaje kuamini wahusika wale wale wamefanya Movie ya Kipumbavu kwa lissu...???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuandika siyo tatizo ila huenda mkono wako uliokusaidia kuandika haya ukawa na kilema kama syo mkono basi kutakuwa na tatizo kwenye kokonatia!!
Kwakuwa tunapenda vitu vya uongo uongo ,,umbea, uhayawani, na masuala ya kumkandamiza mwanadam mwenzako kwa mambo ambayo nafaham nafsi inakusuta ila kwa sabab tu ya Visa vya wanadam unaweza kuongea yote Haya!!
Sina Hakika kisheria kama hata ww unaweza ama mie ninaweza kuhoji ama kutaka uhalali Wa elimu yangu!! Taasisi husika nadhani ndo zina authority hiyo nikiamni kwamba they are legalised and recognized institutions!!
You /I sina hakika kbsa kwamba you /I can question my or ur education and expecting to get a genuine answer may be according to the context of inquiry!!
Mengine haya ni kukosa tu kufikiri na kuendeleza hla tu!!!
Haya hayajaanza leo hata mataifa makubwa na yenye uwezo mkubwa kijeshi na kiusalama haya yanatokea na tusivyo na akili tunaenda ati kushtaki utafiki ni Baba zetu!!! Au kuongoza taifa la watu zaidi ya mil 50 tunalinganisha na familia zetu ambazo zinawatoto watatu lakn hata kuzi control zatushinda sembuse mamilion haya ya watu!!!!!
Mtalalamika lkn wenzenu wanatenda!!! Mtashtuka kumekucha mnaendelea kulia lia ila muda huo wenzenu watakuwa wame win!!
Heri ya mwaka mpya!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tufanye wahusika ni walewale. So tukubaliane ni fake movie. Na tukubaliane wahusika hawakuwa na lengo la kuua na sio wauaji na ndio maana waliishia kupiga ovyo risasi na hakuna risasi iliyompata kwenye spinal cord. Kama lengo lingekuwa ni kuua hakuhitaj risasi 38.wala kuingia na gari hadi ndani kwa lisu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ben aliuawa na genge la mbow, hiyo inajulikana.
ANZA KUCHUKUA HIYO TAADHARI KWAKO WEWE MWENYEWE BINAFSI KWA KUTOKUWA "KIHEREHERE", SABABU BIBLIA INATUONYA KUWA "UCHUNGE SANA ULIMI KATIKA METHALI ZA MFALME SULEIMAN".
KUKAA KIMYA PIA NI BUSARA SANA SABABU UNAEPUKANA NA MENGI HATA AMBAYO HUKUTEGEMEA, EBU TAFAKARI KWA KINA SANA UKIJIULIZA.
JE NI BEN SAA NANE PEKEE NDIYE ALIYEKUWA ANAFAHAMU UPATIKANAJI WA "PHD" YA KIONGOZI WAKO KWA 100%?
JE BEN SAA NANE ANGEPUNGUKIWA KIPI HASA ASINGEULIZA HIYO PHD YA BABA WA TAIFA LAKO?
JE HATA ANGEJIBIWA ANGENUFAIKA NA LIPI HASA(ANGEONGEZEWA MSHAHARA, MADARAKA, HADHI YA ELIMU AU FAMILIA)???
JIFUNZENI KUKAA KIMYA ENYI KIZAZI CHA KIHEREHERE KWA KUJUA NA KUTAKA KUJUA KILA KITU SABABU NI HERI KUJIFUNZA KULIKO KUJUA KILA KITU KTK MAISHA.
UKIMYA NI BONGE LA HEKIMA WALA HAUKUSHUSHII HADHI YOYOTE KATIKA JAMII YOYOTE ILE DUNIANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu elewa tu ni tukio fakeMkuu mtapata taabu sana kujisafisha, kama maelezo ni rahisi kiasi hicho jeshi letu maakini linalofanya kazi kwa weledi mkubwa na inteligensia ya hali ya juu, limeshindwaje kulibaini hilo na kutoa taarifa ya uchunguzi kwa mbwembwe, kama wanavyotoa taarifa za kuzuia mikutano ama maandamano. Na alieng'oa cctv cameras za eneo hilo ni nani? Kama kwaida yenu likitajwa jina la Lisu lazima mjiharishe.
Hiyo ilikuwa na warning ya patron wetu tulipokuwa tunakua, he's been there probably done it; kwa hiyo akikwambia you know he's knows what he's talking about.So unataka kusemaje kulingana na mada tajwa hapo juu, inaonekana inajua mengi.
Ulivyoandika ni kama tayari unafahamu nani alimfanyia ubaya huo. Lakini kwangu mimi naomba kufahamishwa undani wa tukio na hatua za familia zilizochukuliwa.
Naomba kufahamu kama familia ilitoa taarifa ya kupotea kwake. Kama familia ilitoa taarifa, naomba kufahamu kama inafuatilia hatma ya uchunguzi wa Polisi. Haya ni muhimu bila kujali hisia zako juu ya kutoweka kwake. Baya zaidi ni kutaka msaada wa serikali na wakati huo huo unaelekeza kidole kwa serikali. Inafanya zoezi zima kuwa ni gumu. Tukumbuke kwamba Huyo tunamfahamu hapa JF na tunadhani hiyo inatosha kulifanya taifa zime kumtafuta, lakini kuna wengi wametoweka vijijini bila sisi kufahamu.
NOTE: Ktk zozana hii nimeona maadiko yakisema mtu huyo alikuwa na wadhifa ndani ya CHADEMA, je, Viongozi wa CHADEMA wameonyesha kuhangaikia jambo hilo, au ni mbele kwa mbele hayo yamepita? CHADEMA kama chama kinasema nini juu ya hilo. Tusizozane wala kutukanana kwa siasa maana kupotea kwa mtu huyu kuna machungu kwa wazazi kuliko CHADEMA.
So point ya mwisho wahusika wa hayo matukio ni Wapumbavu sana...!! na suala la risasi kwenye spinal cord ni Dr tu anaweza sema kama ni kweli ausioo kwelii..Tufanye wahusika ni walewale. So tukubaliane ni fake movie. Na tukubaliane wahusika hawakuwa na lengo la kuua na sio wauaji na ndio maana waliishia kupiga ovyo risasi na hakuna risasi iliyompata kwenye spinal cord. Kama lengo lingekuwa ni kuua hakuhitaj risasi 38.wala kuingia na gari hadi ndani kwa lisu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achaa ujingaa...Lile tukio sio fake maana mtu kweli kapigwa risasi na hadi leo yupo hosp tokana ana majeraha aliyopata...!! Lile tukio ni la kweli ilaa Waliompiga Risasi wamekosea kutengeneza movie kama walivyokosea ya MO ..
Kapigwa risasi ngapi?Achaa ujingaa...Lile tukio sio fake maana mtu kweli kapigwa risasi na hadi leo yupo hosp tokana ana majeraha aliyopata...!! Lile tukio ni la kweli ilaa Waliompiga Risasi wamekosea kutengeneza movie kama walivyokosea ya MO ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hivi, kwa jinsi serikali ya CCM inavyotaka kuumaliza upinzani, kama kweli CHADEMA au MBOWE angekuwa amehusika na kifo cha Chacha Wangwe, na kama angehusika kweli na "Kupotea" kwa Ben Saanane, basi system ingemshughulikia mara moja. as it is, hawajadiriki hata kusema hayo. na kama hivyo ndivyo, basi kwa nini Serikali inakataa kuita wachunguzi wa nje waje waseme hayo unayosema? Maana kama serikali ingekuwa hata na shaka tu, ingewaita ili hao wa nje waitaje CHADEMA kwamba imehusika. hapo si ingekuwa ndiyo mwisho wa ADUI namba moja wa CCM na Serikali yake? maana kama serikali ingewahusisha CHADEMA watu wangesema serikali inawasingizia, kama katika suala la AKWILINA,Ben Saanane alitumwa na Mbowe Afrika Kusini, kumbe ilikuwa janja ya kumuuwa ili kuficha wizi wa ruzuku ya chama.
Ni kama Chacha Wangwe tu alichofanyiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
So wewe Ufake wake unakuja tokana na Risasi alizopigwa au????? Jamaa hujielewi wew...
Kama ni kumtoa uhai serikali haiitaji kutumia nguvu kubwa kama hiyo.Ilikua ni kuvunja kioo na kumtwanga risasi 1 ya kichwa au mbili na kukimbia. Sasa ukisoma maelezo ya tukio ndio utaona hakukua na muuaji pale.Eti wamefika wakaanza kusubiri, mara wakatoa bunduki, mara dereva anashuka anamlaza lisu naye anaingia uvungun na ndio jamaa wanaanza kumwaga risasi kama njugu.Hii assassination ni ya kwanza Duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni yaleyale kwamba eti wauaji wakaanza kurud Dar kwa speed hahahahahahahMkuu isejekuwa ndio mliooneka moro kwa spidi kali mkitokea dodoma baada ya shambulio. Juhudi zako kubwa zkujisafisha na kupotosha hii habari zinaoneka. Lakini ni za kipuuzi na kilofa. Jaribu lingine labda utafanikiwa, lakini sio kwa hili. Kwa akili yako unaweza kutekeleza kuwa mheshimiwa Nape alijinyooshea mwenyewe bastola mbele ya waandishi wa habari.
Ni yaleyale kwamba eti wauaji wakaanza kurud Dar kwa speed hahahahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani huko bavicha mtu akija na desa lolote hasi kwa serikali mnaliamini. Reasoning huko ni ZERO.Ala, mkuu kumbe unafahamu halafu unajifanya hujui.