Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Zile maiti za zilizokuwa zinakutwa kwenye viroba zilikuwa ni magaidi walioiteka Kibiti,walishambuliwa uko msituni na kutupwa baharini,kumbuka wanajeshi zaidi ya 1,000 walikuwa wanaingia msitu wa Kibiti na walikuwa hawaachi kitu uko.