Ndio shida yenu.Mnataka kila mtu awaze sawa nanyi.Kwani huwez tumia akili ya kawaida tu kujiuliza inawezekanaje upigwe risasi 38 na bado ubaki salama?Kwamba hizo risasi zilikua ni za plastic?Endeleza Mzaha, nakutakia kila la heri, "hujafa hujaumbika" mwanangu.
Same can be applied to the author of the thread. Don't you think so? ....Me thinkHii ni fact au unaongozwa na ile “chuki” uliyo nayo zidi ya CHADEMA?
kwahiyo unajuwa hivyo na hujaenda kulipoti police unakuja kuripoti hapa. halafu unatembea barabara ukifikiri unaakiri timamu? either umejitowa ufahamu au itakuwa muathirika upungufu wa akili kutokana na vyuma kukaza.Ben Saanane alitumwa na Mbowe Afrika Kusini, kumbe ilikuwa janja ya kumuuwa ili kuficha wizi wa ruzuku ya chama.
Ni kama Chacha Wangwe tu alichofanyiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
We endelea na porojo zako wakati mwenzito ana taarifa ya utabibu ambayo ni ushahidi tosha.Hata hili la kupigwa Risasi lazima liongelewe kwa facts. Ni kweli kupiga au kutishia ni kosa lkn lazima tujikite kwenye facts. Ni kweli binadamu unaweza pigwa Risasi 38 na ukabaki salama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa zipi?Umeziona?Jaman sisi ni Great thinker, tuache USHABIKI MAANDAZI. Inawezekana vipi upigwe risasi 38 na bado ubaki salama?Kumbuka unaambiwa ilikua siraha ya kivita. Au zilikua baruti?We endelea na porojo zako wakati mwenzito ana taarifa ya utabibu ambayo ni ushahidi tosha.
Subiri tarehe 23 anahutubia.Taarifa zipi?Umeziona?Jaman sisi ni Great thinker, tuache USHABIKI MAANDAZI. Inawezekana vipi upigwe risasi 38 na bado ubaki salama?Kumbuka unaambiwa ilikua siraha ya kivita. Au zilikua baruti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata ahutubie leo, bado kama Great thinker uwe na AKILI sio kumsikiliza mwanasiasa. Kwamba unataka kusema atakayoongea ndio sahihi?Kwamba wewe huna akili ya kureason inawezekanaje upigwe risasi 38 na bado ubaki salama?Huoni kwa tukio hili tayar jamaa anafaa kuingizwa kwenye records za Dunia?Subiri tarehe 23 anahutubia.
Hii thread siyo pahala pake.Na ingekuwa the right place, ningeuliza CCTV zipo?Mkuu hata ahutubie leo, bado kama Great thinker uwe na AKILI sio kumsikiliza mwanasiasa. Kwamba unataka kusema atakayoongea ndio sahihi?Kwamba wewe huna akili ya kureason inawezekanaje upigwe risasi 38 na bado ubaki salama?Huoni kwa tukio hili tayar jamaa anafaa kuingizwa kwenye records za Dunia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tufanye cctv na wale wote mnaosema wamehusika ni kweli.Tuje kwenye facts inawezekanaje upigwe risasi 38 na zingine kwenye uti wa mgongo na ukabaki salama?Hivi kwanza unajua kazi za uti wa mgongo?Ushwah fanya imagination ya umwagaji wa risasi 38?Hii thread siyo pahala pake.Na ingekuwa the right place, ningeuliza CCTV zipo?
Namba 2 ndiyo more likely ikifuatiwa na namba 3.Juzi niliona picha ya Rais Magufuli akimuombea mama yake mzazi ambaye amepatwa na maswahibu kama yaliyokatisha uhai wa binti yake ambaye alizikwa hivi karibuni.Nilipomuona nilijikuta nikiwaza sana!
Turudi kwenye mada. Ben Saanane mara ya mwisho kabla hajapotea alitoka kwao asubuhi kama kawaida kwenda kwenye mihangaiko ila hakurudi tena hadi leo. Siku chache baada ya kupotea namba yake ikaondolewa kwenye makundi yote ya WhatsApp naamini alikuwa akishurutishwa fanya hili...fanya hili...Siku baada ya siku hadi alipomaliza yote. Mbaya zaidi kuna ujumbe aliotuachia "Tuutafakari" ambapo alikuwa akilalamika kuwa yupo mtu mmoja alikuwa akimtumia ujumbe kila alipokuwa akiishambulia elimu ya mfalme kule kisiwani kwenye mitandao ya kijamii kuwa "mara umebakiza post tatu mara mbili" na mwisho kabisa akamwambia "Naamini sasa hutapost tena" Ujumbe zaidi aliambiwa "Baba yako atajilaumu sana kwa kukusomesha na sasa hatayafaidi matunda ya elimu yako,Ben wewe bado ni kijana mdogo sana kufa"
Ninachoamini ni kuwa dola inajua kabisa yaliyomkuta Ben. Kama sivyo basi wangeshachukua hatua stahiki. Emb fikiria watu wote waliokuwa wamekithiri kwa ukosoaji kipindi kile walifanywa nini? Tundu Lissu mbunge na mwanasiasa maarufu sana alishambuliwa kwa risasi nyingi mchana kweupe tena mbele ya makazi yenye ulinzi mkali na hakuna chochote mpaka leo. Njoo kwa kuke kwa ofisi za Fatuma Karume hadi bomu likarushwa kwenye ofisi zao. Kina Roma walivyopigwa kwenye majumba yasiyojulikana! Itakuwaje kwa Ben aliyekuwa naye amekithiri kwa ukosoaji?
Mimi naweza kufikiria haya na huenda moja wapo likawa sahihi
1. Huenda Ben kapigwa ban labda kwa kipindi fulani....Ila hapana, siku wakimtoa huko je? Si wataaibika?
2. Huenda walidhamiria kumpiga kisha wamuachie ila wakazidisha kipigo na ikawa bahati mbaya jumla!
3. Au moja kwa moja walimmaliza.
4. Au labda walimpa ofa ya kwenda nchi za watu kukaa tu huko ili asiwe tena anashambulia....Thubutuuu yani mfalme umkosoe, uwe mfuasi wa "mabeberu" halafu akupeleke kula bata?
Wazo namba 2 linanishawishi nikubaliane nalo zaidi kwakuwa naamini hata kina Roma Mkatoliki na wenzake walipokuwa wanapigwa kama ingetokea bahati mbaya iwe jumla basi nao wasingeonekana mpaka leo.Linanishawishi nikubaliane nalo kwakuwa wote waliokosoa walielekezwa kwenye mfumo huu wa kupotezwa ila baadhi yao Mola akawanusuru!
Kuna kile kipindi maiti zilikuwa zinaokotwa kiholela sana kule baharini mara mto Ruvu huku zikiwa zimefungwa kwenye viroba. Hiki ndicho kipindi kile cha kukamatwa watu kule MKIRU na kwenda kuona joto la motoni kule Stakishari! hiki ndicho kipindi kilichokuwa muda mfupi tu tangia Ben atoweke. Ndicho kipindi alichopotea Azory.........Mbona siku hizi zile maiti za "wahamiaji haramu" hazipo tena? Kwanini kipindi kile ziliibuka sana zikiwa zimefungwa kwenye mifuko huku sisi wengine tukielewa kuwa kule Stakishari kulikuwa na kwata la kufa mtu likiendelea? Hadi watu wakawa wanatambaa kama nyoka? Kwanini kwanini kwanini?
Ukweli wa haya naamini kuwa hautajulikana kama tutaujenga "mfumo mfalme wa kisiwa" kama tulivyotahadharishwa humu Jf......"Mfumo mfalme huyu" ni hatari kwa afya yetu hivyo tuchukue tahadhari mapema sana.
Kwa Mungu yote yanawezekana full stop. Mungu hashindwi kitu. Kama huamini Mungu, hilo ni jambo lingineHata hili la kupigwa Risasi lazima liongelewe kwa facts. Ni kweli kupiga au kutishia ni kosa lkn lazima tujikite kwenye facts. Ni kweli binadamu unaweza pigwa Risasi 38 na ukabaki salama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimuona mtu anatumia nguvu nyingi kujaribu kupoteza muelekeo sahihi wa hisia za nini hasa kilijiri ujue either alihusika moja kwa moja katika tukio au anawajua wahusika na ni wenzake(same team).Hivi unapata wapi ujasiri wa kuchangia ujinga katika mambo magumu kama haya?
Acheni kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kipumbavu. Yaani nyie kila yanatokea upande wenu ni Mungu. Mnatumia vitu gani kupima kuwa ni Mungu na sio binadamu?Kwa Mungu yote yanawezekana full stop. Mungu hashindwi kitu. Kama huamini Mungu, hilo ni jambo lingine
Biblia inasema pasipo Mungu, hatuwezi chochote,liwe dogo au kubwa. Mungu anahusika na maisha ya mwanadamu yoyote kwa asilimia mia moja. Hakuna jambo linaloweza kutokea bila Mungu kuridhia. Siwezi kukuelezea zaidi ya hapo. Hata wewe kutype hapo, ni Mungu kakupa uwezo.Acheni kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kipumbavu. Yaani nyie kila yanatokea upande wenu ni Mungu. Mnatumia vitu gani kupima kuwa ni Mungu na sio binadamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya uliyoyaandika yana halalisha Je kupotezana au kushambuliana kigaidi ?! 38 utafikiri unamuua Tembo au hata Chatu !!!.Kuandika siyo tatizo ila huenda mkono wako uliokusaidia kuandika haya ukawa na kilema kama syo mkono basi kutakuwa na tatizo kwenye kokonatia!!
Kwakuwa tunapenda vitu vya uongo uongo ,,umbea, uhayawani, na masuala ya kumkandamiza mwanadam mwenzako kwa mambo ambayo nafaham nafsi inakusuta ila kwa sabab tu ya Visa vya wanadam unaweza kuongea yote Haya!!
Sina Hakika kisheria kama hata ww unaweza ama mie ninaweza kuhoji ama kutaka uhalali Wa elimu yangu!! Taasisi husika nadhani ndo zina authority hiyo nikiamni kwamba they are legalised and recognized institutions!!
You /I sina hakika kbsa kwamba you /I can question my or ur education and expecting to get a genuine answer may be according to the context of inquiry!!
Mengine haya ni kukosa tu kufikiri na kuendeleza hla tu!!!
Haya hayajaanza leo hata mataifa makubwa na yenye uwezo mkubwa kijeshi na kiusalama haya yanatokea na tusivyo na akili tunaenda ati kushtaki utafiki ni Baba zetu!!! Au kuongoza taifa la watu zaidi ya mil 50 tunalinganisha na familia zetu ambazo zinawatoto watatu lakn hata kuzi control zatushinda sembuse mamilion haya ya watu!!!!!
Mtalalamika lkn wenzenu wanatenda!!! Mtashtuka kumekucha mnaendelea kulia lia ila muda huo wenzenu watakuwa wame win!!
Heri ya mwaka mpya!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishi! Hivi huyu mpumbavu yuko busy kubisha eti ni kwa nini tundu lisu amenusurika, kwa kurushiwa risasi 38 na16 zikaingia mwilimi mwake, ye alitakaje? Ulitaka afe? Ok polisi siwaje hadharani waseme hakupigwa risasi hata moja, kwa nini hawakwenda hta kumhoji nairobi alikokua amelazwa..We ni mpumbavu wa kiwango cha juu saana. Watu hawapaswi kukujibu loloteAcheni kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kipumbavu. Yaani nyie kila yanatokea upande wenu ni Mungu. Mnatumia vitu gani kupima kuwa ni Mungu na sio binadamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
.Juzi niliona picha ya Rais Magufuli akimuombea mama yake mzazi ambaye amepatwa na maswahibu kama yaliyokatisha uhai wa binti yake ambaye alizikwa hivi karibuni.Nilipomuona nilijikuta nikiwaza sana!
Turudi kwenye mada. Ben Saanane mara ya mwisho kabla hajapotea alitoka kwao asubuhi kama kawaida kwenda kwenye mihangaiko ila hakurudi tena hadi leo. Siku chache baada ya kupotea namba yake ikaondolewa kwenye makundi yote ya WhatsApp naamini alikuwa akishurutishwa fanya hili...fanya hili...Siku baada ya siku hadi alipomaliza yote. Mbaya zaidi kuna ujumbe aliotuachia "Tuutafakari" ambapo alikuwa akilalamika kuwa yupo mtu mmoja alikuwa akimtumia ujumbe kila alipokuwa akiishambulia elimu ya mfalme kule kisiwani kwenye mitandao ya kijamii kuwa "mara umebakiza post tatu mara mbili" na mwisho kabisa akamwambia "Naamini sasa hutapost tena" Ujumbe zaidi aliambiwa "Baba yako atajilaumu sana kwa kukusomesha na sasa hatayafaidi matunda ya elimu yako,Ben wewe bado ni kijana mdogo sana kufa"
Ninachoamini ni kuwa dola inajua kabisa yaliyomkuta Ben. Kama sivyo basi wangeshachukua hatua stahiki. Emb fikiria watu wote waliokuwa wamekithiri kwa ukosoaji kipindi kile walifanywa nini? Tundu Lissu mbunge na mwanasiasa maarufu sana alishambuliwa kwa risasi nyingi mchana kweupe tena mbele ya makazi yenye ulinzi mkali na hakuna chochote mpaka leo. Njoo kwa kuke kwa ofisi za Fatuma Karume hadi bomu likarushwa kwenye ofisi zao. Kina Roma walivyopigwa kwenye majumba yasiyojulikana! Itakuwaje kwa Ben aliyekuwa naye amekithiri kwa ukosoaji?
Mimi naweza kufikiria haya na huenda moja wapo likawa sahihi
1. Huenda Ben kapigwa ban labda kwa kipindi fulani....Ila hapana, siku wakimtoa huko je? Si wataaibika?
2. Huenda walidhamiria kumpiga kisha wamuachie ila wakazidisha kipigo na ikawa bahati mbaya jumla!
3. Au moja kwa moja walimmaliza.
4. Au labda walimpa ofa ya kwenda nchi za watu kukaa tu huko ili asiwe tena anashambulia....Thubutuuu yani mfalme umkosoe, uwe mfuasi wa "mabeberu" halafu akupeleke kula bata?
Wazo namba 2 linanishawishi nikubaliane nalo zaidi kwakuwa naamini hata kina Roma Mkatoliki na wenzake walipokuwa wanapigwa kama ingetokea bahati mbaya iwe jumla basi nao wasingeonekana mpaka leo.Linanishawishi nikubaliane nalo kwakuwa wote waliokosoa walielekezwa kwenye mfumo huu wa kupotezwa ila baadhi yao Mola akawanusuru!
Kuna kile kipindi maiti zilikuwa zinaokotwa kiholela sana kule baharini mara mto Ruvu huku zikiwa zimefungwa kwenye viroba. Hiki ndicho kipindi kile cha kukamatwa watu kule MKIRU na kwenda kuona joto la motoni kule Stakishari! hiki ndicho kipindi kilichokuwa muda mfupi tu tangia Ben atoweke. Ndicho kipindi alichopotea Azory.........Mbona siku hizi zile maiti za "wahamiaji haramu" hazipo tena? Kwanini kipindi kile ziliibuka sana zikiwa zimefungwa kwenye mifuko huku sisi wengine tukielewa kuwa kule Stakishari kulikuwa na kwata la kufa mtu likiendelea? Hadi watu wakawa wanatambaa kama nyoka? Kwanini kwanini kwanini?
Ukweli wa haya naamini kuwa hautajulikana kama tutaujenga "mfumo mfalme wa kisiwa" kama tulivyotahadharishwa humu Jf......"Mfumo mfalme huyu" ni hatari kwa afya yetu hivyo tuchukue tahadhari mapema sana.
"Naamini sasa hutapost tena" Ujumbe zaidi aliambiwa "Baba yako atajilaumu sana kwa kukusomesha na sasa hatayafaidi matunda ya elimu yako,Ben wewe bado ni kijana mdogo sana kufa"
Ninachoamini ni kuwa dola inajua kabisa yaliyomkuta Ben. Kama sivyo basi wangeshachukua hatua stahiki.
Nafikiri huko kwenu ndiko walikojaa WAPUMBAVU coz huwa mmapangiwa nini mfikiri na kuhoji. Hakuna nilipoelezea kuwa ilitakiwa afe lkn nahoji idadi ya risasi tena bunduki ya kivita. Shida yenu ni kwamba huwa hampend kureason lolote mtakalo ambiwa na lisu,Mbowe au think tank yyt mliyemchagua afikir kwa ajili yenu.Ni muuaji wa aina gani huyu wa kutumia bunduki ya kivita na akamwaga risasi 38?Tuseme zilimpata risasi 16.Tukubali, inawezekanaje risasi 16 ziingie mwilini ma bado ubaki na faham hadi unafikishwa hospital ndio faham ipotee?Mbaya zaid kuna risasi nyingine ilitua karibu na spinal cord lkn jamaa anadai bado alikua timamu tu.Hivi huko ufipa huwa mnajaribu hata kureason lolote?Ishi! Hivi huyu mpumbavu yuko busy kubisha eti ni kwa nini tundu lisu amenusurika, kwa kurushiwa risasi 38 na16 zikaingia mwilimi mwake, ye alitakaje? Ulitaka afe? Ok polisi siwaje hadharani waseme hakupigwa risasi hata moja, kwa nini hawakwenda hta kumhoji nairobi alikokua amelazwa..We ni mpumbavu wa kiwango cha juu saana. Watu hawapaswi kukujibu lolote
Sent using Jamii Forums mobile app