Habari wakuu,
Hebu leo tucheze haka kamchezo.......ni hivi...katika kukoment....unaandika Yale maneno yanayojidisplay kwenye keyboard ya simu yako kufuatisha vile vijumba vitatu......mfano
Thanks for letting me be a part of this group of us to be there for the first week of May to see the new Star is out for delivery and the other two I have been working with the kids so I can i the way I have been in contact with me be a part of this group of us to be there for the first week of May.
Haya karibu.....pia Kuna faida zake hasa kwa sisi tunaopata shida katika kutype maneno ya kiingereza kwenye smartphone