Hebu tujadili kuhusu 'blended family'

Hebu tujadili kuhusu 'blended family'

Binafsi naona hao sio ndugu....
Ukitaka kujua hizi familia zetu zina muingiliano anza kutafuta historia ya ukoo wenu. Yani mtakuta uko mwanzo kulikua na miingiliano balaa..... Nenda kijijini kwenu fanya hiyo research...
 
True story, mi kuna ninaowajua wa ivo wameona kabisa tena kwa ushawishi wa baba, baada ya mama kuona ivo akaachika kwamba hawezi kuishi kwa wakwe.
 
Kuna wazazi wanakuwa busy hawana tym na watoto hata wiki.... Mbona ipo sana hiyo....

Sent using Jamii Forums mobile app

Basi pale linapotokea jambo zito kama hvo kwenye familia mzazi ambae alikua busy na hakuweza kusema na watoto wake anatakiwa arelax sio kupanik as if kuna mtu kamsaidia kuwaharibu ni yeye na kutokua responsible..period
 
Sawa ni kweli sio ndugu wa damu lakini kiustaarabu tu wa kijamii wototo wa baba kulana na watoto wa mama sio sahihi mbona wanawake na wanaume tupo weengi sana yanini walane wenyewe na tusiokuwa na dada wa kufikia tukale wapi?? nawashauri kwamba wameshakulana sana sasa inatosha kabla hawajafumwa waache maramoja na kila mmoja atafute mwenzi wake
Hivi wewe unaujua ule utamu wa chini au bado mtoto? hainaga makombo unaweza shangaa shemeji anapigwa bila sababu na nyumbani asije kisa ana muonea sana dada km hataki amuache dada yetu!!
 
Back
Top Bottom