Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Nitajitahidi
Kuna wazazi wanakuwa busy hawana tym na watoto hata wiki.... Mbona ipo sana hiyo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe unaujua ule utamu wa chini au bado mtoto? hainaga makombo unaweza shangaa shemeji anapigwa bila sababu na nyumbani asije kisa ana muonea sana dada km hataki amuache dada yetu!!Sawa ni kweli sio ndugu wa damu lakini kiustaarabu tu wa kijamii wototo wa baba kulana na watoto wa mama sio sahihi mbona wanawake na wanaume tupo weengi sana yanini walane wenyewe na tusiokuwa na dada wa kufikia tukale wapi?? nawashauri kwamba wameshakulana sana sasa inatosha kabla hawajafumwa waache maramoja na kila mmoja atafute mwenzi wake