Hebu tujikumbushe vichapo tulivowahi pata toka kwa mabinti.

Hebu tujikumbushe vichapo tulivowahi pata toka kwa mabinti.

Kiberiti Kidogo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
575
Reaction score
918
Huwa nikikaa natafakari tulipotoka nacheka sana. Shule ya msingi wadada walikuwa wababe, darasa la kwanza la Pili la tatu hivi. Niliwahi kula makofi toka kwa monitor wa kike darasa la kwanza hatari. Kisa nimegeuza daftari. Hebu nipeni na nyie wenzangu mliowahi kula mbata toka kwa wadada shule ya msingi.
 
Back
Top Bottom