Hebu tujiulize undani wa hili ‘Tishio la UGAIDI’

Inawezekana wewe umeweza kuweka kidole sahihi kwenye hili jambo.

Ni kama Mmarekani anajihami, kutokana na aliyotenda karibuni. Ni mbinu ya kuwaogopesha hata waliofikiri wanaweza kulipa kisasi kwa tendo lililofanyika Somalia.
 
Na ndiyo hiko hivyo mkuu. Marekani anajihami kwa alichofanya hapo Somalia.

Wale jamaa Wana wafuasi karibia kila sehemu hapa Africa na Tz ikiwemo. Lolote laweza kutokea.
 
Yaani Jeshi linatumia magari chakavu huku kila siku viongozi wananunua magari ya bei mbaya ila hilo neno
BAJETI YA ULINZI WA VIONGOZI NA ULINZI WA UMMA OVER
 
Polisi walipaswa kuwa na vishkwambi vyenye nyenzo muhimu za ulinzi. Unakuta polisi anatembea na bunduki na king'amuzi pekee alichonacho ni redio call.

Polisi wanapaswa kuwa na server yao pekee inayosimamia intranet zao.

Polisi wanapaswa kuwa na camcoder kwenye kofia zao ili kuratibu mwenendo wake n amatukio yanayoambatana na utendaji wake......
 
Kwa bajeti ipi na viongozi gani wa kuwaza vitu Kama hivyo?
 
Ndiyo maana ni muhimu sana kuchagua chama chenye dira na mwelekeo wa Kitaifa chenye uzalendo kwa Watanzania.

CCM imefikia mahala haina tena haiba ya kuongoza nchi
 
CCM inakosa dira nzuri na ubunifu wa kimkakati hilo ni tatizo.
Lakini tatizo lingine hakuna chama kingine chenyewe uwezo wa kuongoza kwa Tanzania kila mtu anaangalia maslahi
 
Vyombo vyetu vipo imara sana kupambana na vyama vya siasa.
 
Mikakati na mbinu zote wameweka kupambana nanraia badala ya kupambana na uhalifu.

Magari ya washawasha yale hayajanunuliwa kwa ajili ya kukomesha uhalifu. Angalia wanawaambia vyama kuwa hawana polisi wa kutosha kulinda mikutano yao lakini wanapeleka full battalion ya polisi kuwatwanga hao wapinzani.

Double standards zinatufanya kuwa vulnerable
 
CCM inakosa dira nzuri na ubunifu wa kimkakati hilo ni tatizo.
Lakini tatizo lingine hakuna chama kingine chenyewe uwezo wa kuongoza kwa Tanzania kila mtu anaangalia maslahi
Mkuu
Kauli kusema kuwa hakuna chama kingine mbadala ni propaganda iliyoasisiwa na CCM ambapo tumekaririshwa kufananisha upinzani na CCM.

TANU haikuenda kusomea kuongoza nchi bali walidai uhuru ili tujitawale na kujiamulia hatima ya mambo yetu. Ni jukumu la CCM kuwawezesha watanzania kujitawala lakini badala yake imejimilikisha nchi. Imekuwa mkoloni mpya
 
Ubalozi kuna tishio la ugaidi, mkuu wa majeshi “Tanzania ni salama hakuna tishio la usalama “
So tushike lipi na tuache lipi??
Tumsikilize nani??
 
Ok lakini kujitawala ni lazima kuwe na chama.
Ukiitoa CCM ambayo ni sahihi kabisa ina mapungufu unahisi chama gani kingine kina uwezo wa kuongoza nchi na kwanini?
 
Chama sahihi ni kile kitakacholeta ilani yenye mantiki na inayotoa muelekeo wa kulinasua taifa kutoka katika MNYONG'ONYO huu tulio nao sasa.

Watanzania wana uwezo wa kuunda serikali kupitia chama kitakachoshinda kihalali na siyo uzwazwa wa CCM
 
Bado hujajibu swali
 
Nadhani swali ungejibu kiutendaji na hoja zaidi kuliko siasa za porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…