Hebu tujiulize undani wa hili ‘Tishio la UGAIDI’

Nadhani swali ungejibu kiutendaji na hoja zaidi kuliko siasa za porojo
Mkuu ndiyo maana tunajadili wote kwa uhuru zaidi. Usisite kutoa maoni ama mtazamo wako hata kama unakinzana na hoja kuu
 
Bado hujajibu swali
Leading question linawafaa wasioelewa aina hiyo ya maswali.

Yaani nitaje jina la chama kinachofaa ilihali kila mtu ana itikadi anayoiona inafaa na wakati huo huo tunahudumia propaganda za CCM kuwa wapinzani hawajawa tayari kushika hatamu za nchi.

Think
 
Nalipongeza jeshi la polish kwa kutoa tamko lenye maelekezo chanya kwa kadhia hii.

Athalan ninalishauri jeshi la polisi Tanzania kuanza kujenga haiba njema baina yake na jamii. Polisi ni jamii wanayotoka hivyo kunapokuwepo na kuaminiana na kuishi kwa viapo vyao ni njia sahihi ya kupata ushirikiano mkubwa kutoka kwa wananchi.

Polisi wahakikishe wanatuza siri ya vyanzo vyao vya taarifa kwa sababu kuna tabia ya baadhi ya polisi kuvujisha vyanzo vya taarifa kwa wahalifu hata kufikia wananchi kuhofia kutoa taarifa za mwenendo unaoashiria uhalifu.

Pongezi kwao
 
Sukuma Gang wanapanga kulipua mabomu kwenye mikutano ya Chadema ili kuwatisha watu wasihudhurie mikutano hiyo na pia kumprove wrong Samia kwa kuondoa zuio haramu aliloweka yule Mhutu. Tukumbuke kuwa hawa Sukuma Gang wengi siyo Watanzania bali ni wahamiaji haramu waliojivika usukuma,bado wanawasiliana na ndugu zao ambao huko kwao wamezoea kuuana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…