Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kitu kimooja ambacho mwenye kujua atujuze hata ikiwezekana kwa picha,mm sina kumbukumbu kma nilishawahi kumuona mtu mweupe[MZUNGU] kama kasuka rasta au kusuka kikawaida,hebu mwenye kapicha akitume kwanza tukumbuke
Me nimewai muona alikua madam wangu wa kingereza alikua anapenda kuiga mambo ya kibongo vitenge kwa sana....ila kapicha sina.
Ushahidi huo