ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
LumalisaVipi Joyce na Aziza uwezo wao ukoje
Uwezo wao wa uwanjani tuliwaona siku ya mwananchi kama Joyce alichaguliwa kikosi Bora Cha Africa mzungu wa Simba ameshacheza UEFA champions league ambayo ni michuano mikubwa Kwa vilabu duniyLumalisa
ameshapata kuchaguliwa ktk kikosi bora cha afrika kikiongozwa na washambuliaji mahiri Mo Salah na Sadio Mane
Aziz Ki
Mbali ya kufanya vizuri katika soka la afrika misimu ya hivi karibuni pia ndiye mchezaji bora wamsimu uliomalizika katika ligi kuu ya Ivory coast
Una Swali la nyongeza?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Unamchambuaje mtu ambae kafanya mazoezi na wenzie siku moja tu?Ahmad ally alimtambulisha kwa mbwembwe nyingi sana...sote tukatishika na kutegemea makubwa sana lakini hali ikaja kuwa tofauti. Je, tutegemee makubwa kutoka kwa mzungu?
Japo wengine watasema tumpe muda lakini kwangu mechi moja tu ya Singida big stars ilinifanya niwape salute wale wa brazil..na pia mechi ya leo imedhihirisha kuwa wale wa brazil watakuja kusumbua.
Please mwenye clip za mzungu atupie hapa wadau...
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Tell him [emoji23][emoji23][emoji23]Lumalisa
ameshapata kuchaguliwa ktk kikosi bora cha afrika kikiongozwa na washambuliaji mahiri Mo Salah na Sadio Mane
Aziz Ki
Mbali ya kufanya vizuri katika soka la afrika misimu ya hivi karibuni pia ndiye mchezaji bora wamsimu uliomalizika katika ligi kuu ya Ivory coast
Una Swali la nyongeza?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
☹☹☹nimkundu wa nyan? AuTuanze na huyu kwanza
Sawa tumpe muda uzuri na siye tunampata mbrazil patakua hapatoshi...Uwezo wao wa uwanjani tuliwaona siku ya mwananchi kama Joyce alichaguliwa kikosi Bora Cha Africa mzungu wa Simba ameshacheza UEFA champions league ambayo ni michuano mikubwa Kwa vilabu duniy
Pale wanapowekea ule mwiko wao☹☹☹nimkundu wa nyan? Au
Pumbav😆😆Kwa mzungu wa Simba.....tumepigwa. Mchezaji gan anakimbia ovyo huku mpira akiuacha nyuma
Inawezekana Ni muukraine aliyemkimbia bro Putin
Huko mbona mbali! Tuanze kwanza na akina Aisha, Habiba, na Pili. Naona kama wanademka tu mpaka wakati huu.Vipi Joyce na Aziza uwezo wao ukoje
☹☹dah wamepigwa wamesajili mgonjwaPale wanapowekea ule mwiko wao