ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ahmad ally alimtambulisha kwa mbwembwe nyingi sana...sote tukatishika na kutegemea makubwa sana lakini hali ikaja kuwa tofauti. Je, tutegemee makubwa kutoka kwa mzungu?
Japo wengine watasema tumpe muda lakini kwangu mechi moja tu ya Singida big stars ilinifanya niwape salute wale wa brazil..na pia mechi ya leo imedhihirisha kuwa wale wa brazil watakuja kusumbua.
Please mwenye clip za mzungu atupie hapa wadau...
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app