JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
Sekunde 40 tumkumbuke Dokta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa alikuwa na nyimbo zenye utata nyingi sana.Kuna ile anaitukana ccm naikubali sana!
Kuna wakati aliimba kumsifia Mrema, baadae akaja akamgeuka...nakumbuka moja ya mashari kwenye wimbo wa kumgeuka akasema "....nilimuimba kichwa kikavimba"Kuna ile anaitukana ccm naikubali sana!
Potelea mbali ila namkubali sana huyu jamaa sijui hata ashaa wai pewa tuzo maana bongo hatujui kudhamini vya nyumbani kabisa !Kuna wakati aliimba kumsifia Mrema, baadae akaja akamgeuka...nakumbuka moja ya mashari kwenye wimbo wa kumgeuka akasema "....nilimuimba kichwa kikavimba"
Tuzo Bongo hamna, ila huko nje walimuelewa sana tu.Potelea mbali ila namkubali sana huyu jamaa sijui hata ashaa wai pewa tuzo maana bongo hatujui kudhamini vya nyumbani kabisa !
Umenikumbusha mbali sana mzee.Kuna wakati aliimba kumsifia Mrema, baadae akaja akamgeuka...nakumbuka moja ya mashari kwenye wimbo wa kumgeuka akasema "....nilimuimba kichwa kikavimba"