Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

Nimeona Jameson hapo.. Whiskey na friji wapi na wapi? Unaiharibu ladha kabisa
 
ahsante sana mkuu nliteseka kwa mda mrefu,,isitoshe me ni bachela vitu vikiwa ving kwenye friji simaliz kwa wakat vinaharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna hizo ziko alibaba wanauza dola moja
High-Grade-Safe-Reusable-Silicone-Food-Storage.jpg_640x640%20(1).jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ase Wakuu mnawezaje kutunza had vinywaji ?
yan mimi nikiweka hata soda mbili tu usiku sipati usingizi nabaki kulizunguka friji
Roho inanambia "my bro stop cheating your self kunywa izo soda ulale""

Saiv friji limebaki la kuwekea makabichi tu
Haaahaaaaa...uwiii[emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye Water Melon nashauri uwe unaliweka kwenye mfuko wa nailoni ili lisiharibike kuna mifuko flani hivi ya nailon transparent maranyingi wanatumiaga kufunikia matunda. humo ukiliweka lina kaa hata siku 2--3 likiwa na utamu 😉😛 wake og. mimi huwa nafanya hivi.. sema naona simu imegoma kupiga picha Friji langu teh teh
Ulijaribu ila kamera [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom