Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

Yaani unataka kusema nilidownload hizo picha? Haya niko hapa nasubiri source
 
Yeah nami nimeiona ila kuweka whiskey kwenye friji sio.. Inatakiwa iwe kwenye hali yake ya kawaida then una serve on ice blocks
Nani anataka kunywa kinywaji diluted?
 
ase Wakuu mnawezaje kutunza had vinywaji ?
yan mimi nikiweka hata soda mbili tu usiku sipati usingizi nabaki kulizunguka friji
Roho inanambia "my bro stop cheating your self kunywa izo soda ulale""

Saiv friji limebaki la kuwekea makabichi tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Duh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wengine wanaweka maji tu dadek..... kila unapoenda kumtembelea friji ina maji, tena ya kudownload yenye chumvi ka dawa ya kuharisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…