Hebu tuone memba wenye interest zinazofanana, starehe, vinywaji, mpira, siasa

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Naangalia ni wapi tumefanana au tumekuwa na interest sawa na member yeyote

Wanawake:Napenda warefu ,wanene wastani, sipendi weupe napenda black mimi,

Mpira
Club ya Tanzania: Yanga
Uingereza :Arsenal
Hispania: Barcelona
France psg

Timu za Taifa
Kwanza Taifa stars
Duniani: Brazil

Mchezaji wangu bora wa muda wote
Ronaldinho Gaucho
Mchezaji nayemkubali Afrika ni : Samuel Eto'o Phillis

Chama cha siasa: CCM

muziki
Narudi nyumbani - Dr Remmy Ongala
what goes around comes around- Justine Timb
get busy - sean Paul
layile- Franco
L'amour- Mayoni Mayaula
love letter- R kelly
Pour que tu m'aimes encore-celine dion
Nikusaidieje- Prof Jay

Msanii wangu mkali wa muda wote
Tanzania: Nature , Prof Jay, Fid q, FA, Lady jay dee, ila kwa wote namkubali Juma Nature ,
Duniani: Seap Paul

Producer wa muziki wa muda wote
Tanzania : Paul (p funk Majani)
Duniani ;Erick Benzi

Siasa
Rais wangu bora wa Muda wote : Franklin Roosevelt - USA
Kwa Afrika - Julius Kambarage Nyerere

Mwanasiasa wa Upinzani nayemkubali Duniani
Julius Malema - EFC South Africa
Kwa Tanzania - Zitto Zuberi Kabwe

Vinywaji na mambo ya kutiririka
Vodka
Horirika
Coca Cola

Vituo vya TV niwapo TZ
Clouds Fm
ITV
Azam TV

Movies
Black panther
Rome Drama
Forbidden Kingdom

Mtandao au Forum bora
Jamii forums
Trip adviser
Debate politics
Science Forum
 
Shabiki namba moja wa Newcastle United Tanzania
The Magpies
Toon Army
HowieTheLad

Na soka ndiyo ulevu wangu namba moja
Napenda kubet saaaaaaaaanaaa

Namkubali Samuel Eto'o Phils

Nina uchizi na muziki hasa wa nyimbo za injili
Napenda sana kazi za Suleimani Wilson (unaweza tafuta nyimbo zake na kunipa mrejesho) Napenda kuimba kwa kupiga kelele sana naposikiliza muziki

Sizipendi Smba na Yanga kutoka moyoni natamani siku moja zishuke daraja
 
Wanawake weupe
Mrefu, hata mfupi sawa, mwembamba ila awe na ka shape flani ivi yan hata akivaa dela chura niwe naiona
Asiwe bonge

Mpira
Club
Simba
Man United
Real madrid

National team France

Mchezaji bora kwangu muda woote ni zinedine yazid zidane
Muziki
Hip hop
Msanii bora muda wote kwangu ni drake
Chama changu ugali
Raisi wangu jembe
 
Hebu wachaa nishushee.

Wanawake:Mweusi,hata Mweupe simbaya,Mrefu Au Mfupi yote sawa,Chumbani awe na sauti ka'Mtoto Mchanga na awe naviuno mithili ya Hershey,siera lust Au Victoria cakes wa Hislut.com

Mpira:
Club's-Simba, Man united.

Taifa- Kichwa cha Mwenda Wazimu,

Mchezaji-Sasa ni Bwana mdogo Mbape.

Golikipa-Manuel Nuer.

Kocha-Pepe G & Klopp.

Jezzi-Psg.



Muziki:
Taarabu-Khadija kopa.

Hip hop-Nikki mbishi & Nas.

Bongoflavour-Sumalee.

Dance Music-Mwinjuma & Ndada cossovo.

Za Kale-Mbaraka Mwinshehe.

Singeli-Msaga Sumu.

Indian flavour-Terenam,Kal hona ho

Filamu:
Hollywood -Pompey.
Bollywood -Wajood.
Bongowood-Moses,Roho Mbili.
Hongkong-Inclidible kungfu,Big boss
Chinese -Tai-Chi.

Mwanaharakati-Malcolm X.

Mhamasishaji/Tia Moyo--Bruce Lee.

Mzinguaji-Marcus Garvey.

Mwanafalsafa-Bachhu Spinoza & Aristotle,Epicurus.

Mushenzi Mwenye Mvuto-Pablo Escobar.

Kitabu bora- You can Win by shiv khera,Zealots "Jesus Of Nazareth".

Mwandishi bora-Yuvan Noah Harari.

Taifa la Mvuto-Estonia.

Somo/Subject-Physics & Number.

Sex-69 style... & Crampie.

Mtandao sosho-JF,Quora & Naira.

Siasa:Ujamaa na Ukomonist Mwiko.

Mwanasiasa bora: Mujica (Fomaaa President Uruguay),Lee Kuan Yew Singapore.

Rangi:Black
Black power,Black Pride.
Black is beautiful.








Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUMEFANANA KWA ETOO
 
UMETISHA
 
Memba= mwanaume?

Basi ngoja nivunje taboo.
Ninapenda mwanaume anaenipa challenge, mwenye uelewa wa mambo mengi, akiwa kajikita kwenye IT/IS ni vema zaidi.

Ni mpenzi na shabiki wa Yanga, Real Madrid, Brazil.

Mwanasiasa ninaemkubali - Zitto Kabwe.

Napenda kupika na kufanya usafi wa nyumba.
 
Siompenzi wa kuangalia mpira wala sishabikii kitu chochote kinachoshabikiwa na wananchi ikiwamo siasa.

Tv sio mwangaliaji ila nikiangalia huwa ni Al jazeera,bloomberg,HGTV,travel chanel,history(chanel),National geographic,discovery na kiss tv.

Muziki napenda Reggae,dancehall,calypso,kizomba,old school blues,jazz,bongo fleva,bosa nova,zouk,hippity hop,UK grime,mnanda,traditional(clasical) taarab,narcocorridos,ranchera,salsa,rock n roll,the list is endless.

Sinywi pombe,strictly highgrade herbs man ah smoke.ukitaka uniuwe weka sumu yako kwenye juisi ya tende.

Napenda nature,napenda visual arts zote,napenda nanasi,napenda kutembea/kusafiri/adventure.napenda ndizi mzuzu,etc etc



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake: yeyote mwenye akili timamu

Mpira
World cup only

Timu za Taifa
Kwanza: No
Duniani: Brazil

Mchezaji wangu bora wa muda wote
No

Chama cha siasa: No

muziki
Wowote tu.

Msanii wangu mkali wa muda wote
No
Producer wa muziki wa muda wote
Noi

Siasa
No

Mwanasiasa wa Upinzani nayemkubali Duniani
No

Vinywaji na mambo ya kutiririka
Water

Vituo vya TV niwapo TZ
Discovery science, National geographic, Discovery family.

Movies
Hacker

Mtandao au Forum bora
Jamii forums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Time yangu Simba sport club

Taifa. France

Mchezaji wangu bora ni Rwanyamila #Rip

Chama changu cha siasa Chadema

Mwanasiasa wangu bora Mbowe au kamanda wa Anga


Muigizaji wangu wangu wa mda wote Magufuli.
Hahaha
 
Tumeshare kidogo
 
Umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…