Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
😀Mkuu, hutaki flat screen halafu unadai maendeleo hayana chama.
Just joking!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀Mkuu, hutaki flat screen halafu unadai maendeleo hayana chama.
Just joking!
My hapo ni kupambana na hali yako tu😛
Hahaa dahh hiyo line up yako ya kwanza .Wanawake: Wenye matako makubwa.
Bia: Balimi
Timu : Simba FC
Chama: CUF inayotambulika na Msajili
Mchezaji:ROGER Milla
Slogan:Maendeleo hayana vyama
HahaWanawake : YEYOTE MWENYE UCH*..
Pombe : KONYAGI + SAFARI..
Mpira : LIVERPOOL + MBEYA CITY..
Mchezaji Bora : CRISTIANO
Siasa : SUGU
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee74Mimi ninayo Matako makubwa
Ni mrefu
Mweusi
Napenda Arsenal
Napenda Club Libolo ya Congo
Napenda kusafiri safiri sana
Sipendi kutongozwa
Wapo wapenzi wa design hizo. Kila mwanaume na utashi wake. Wapenda misambwanda tuna kelele sana.
😀
Sifa ya kwanza ndiyo muhimu.Mimi ninayo Matako makubwa
Ni mrefu
Mweusi
Napenda Arsenal
Napenda Club Libolo ya Congo
Napenda kusafiri safiri sana
Sipendi kutongozwa
Kama hiyo avatar ni wewe, basi sio mfupi. Mwogope Mungu.
Naamini zipo, tena kwa wingi
Naangalia ni wapi tumefanana au tumekuwa na interest sawa na member yeyote
Wanawake:Napenda warefu ,wanene wastani, sipendi weupe napenda black mimi,
Mpira
Club ya Tanzania: Yanga
Uingereza :Arsenal
Hispania: Barcelona
France psg
Timu za Taifa
Kwanza Taifa stars
Duniani: Brazil
Mchezaji wangu bora wa muda wote
Ronaldinho Gaucho
Mchezaji nayemkubali Afrika ni : Samuel Eto'o Phillis
Chama cha siasa: CCM
muziki
Narudi nyumbani - Dr Remmy Ongala
what goes around comes around- Justine Timb
get busy - sean Paul
layile- Franco
L'amour- Mayoni Mayaula
love letter- R kelly
Pour que tu m'aimes encore-celine dion
Nikusaidieje- Prof Jay
Msanii wangu mkali wa muda wote
Tanzania: Nature , Prof Jay, Fid q, FA, Lady jay dee, ila kwa wote namkubali Juma Nature ,
Duniani: Seap Paul
Producer wa muziki wa muda wote
Tanzania : Paul (p funk Majani)
Duniani ;Erick Benzi
Siasa
Rais wangu bora wa Muda wote : Franklin Roosevelt - USA
Kwa Afrika - Julius Kambarage Nyerere
Mwanasiasa wa Upinzani nayemkubali Duniani
Julius Malema - EFC South Africa
Kwa Tanzania - Zitto Zuberi Kabwe
Vinywaji na mambo ya kutiririka
Vodka
Horirika
Coca Cola
Vituo vya TV niwapo TZ
Clouds Fm
ITV
Azam TV
Movies
Black panther
Rome Drama
Forbidden Kingdom
Mtandao au Forum bora
Jamii forums
Trip adviser
Debate politics
Science Forum