Hebu tuone memba wenye interest zinazofanana, starehe, vinywaji, mpira, siasa

Hebu tuone memba wenye interest zinazofanana, starehe, vinywaji, mpira, siasa

Ngoja niweke na mimi [emoji16][emoji16]

Wanaume: Navutiwa zaidi na personality kuliko maumbile, sura au rangi

Mpira: sio shabiki kabisa nikifuatilia basi nafuata mkumbo tu

Siasa: Sina chama ila naunga mkono harakati za upinzani

Mwanasiasa ninayemkubali : Zitto Kabwe

Kinywaji: Pepsi

Muvi bora: Three Idiots, Empress Ki

Muziki: Swahili Gospel (kinge ni shida)

Msanii wangu bora : Prof Jay

Vituo bora : Magic FM, Clouds

Mtandao wangu pendwa: JamiiForums
Imekaa vizuri Dada.
Kweli wewe ni madame.
Ndiyo maana nakupenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tbh
Wanaume:Napenda warefu , napenda weupe na maji ya kunde.

Mpira :sishabikii wala kufuatilia .

Chama cha siasa: Sina Chama.

muziki: Siyo mpenzi wa miziki.

Mwanasiasa bora : Tundu lissu

Movies : animation movies and cartoons movies.

Vinywaji : tropical juice, Fanta Orange.

Mtandao wa kijamii bora: jamii forums.

Napenda kupika na kuandaa vyakula na juice.

Napenda kuogelea na Ku bembea.

Napenda watoto na ninapenda kucheza nao.
TV : POP, BABY TV, NICKELODEON, SMILE OF A CHILD, JIMJAM na ST KIDS

Kubembea hapo hapo najua kubembeza
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Safi sana,

Mambo gani yanayosababisha unamkubali bwana Marcus Garvey..?

Taarifa zinadai huyu bwana hakuwahi kukanyaga Ardhi ya Africa.
1.Wanawake: Mweusi afu mrefu, akisha kuwa mrefu tuu kwangu ni mzuri, maumbile asiwe mnene xana au mwembamba xana.

2.Mpira: Simba Sports Club, Manchester United.

3.National team: Taifa Stars, Three Lions & The Oranges

4.Mchezaji bora wa muda wote: Ronaldinho Gaucho, Marco Van Basten

5.Music: Napenda good Music,Bongo FlevaHip Hop, Reggae, Sweet Reggae, Pop, R&B

6.Nyimbo bora: Dear Mama - 2pac

7. Wasanii Bora:Tupac Amaru Shakur, Bob Marley, Mangwair, T. I

8.Chama: Sina

9.Raisi bora: Julius Nyerere, Thomas Sankara, John Kennedy

10.Siasa: African Socialism.

11.Media: ITV, Super Sports, MTV, Clouds Media

12.Sports: Basketball & Pool Table

13. Mwanaharakati: Tupac, Malcom X, Marcus Garvey

14.Kinywaji: Sprite Free from thesty

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Mwanaume Mrefu tayari Ulishampata nipo hapa japo sjawahi kukutia machoni hahaha!!!Nipo Mithili ya NBA Players.

Joanna/Joanah Means= God is Gracious, Perfect Woman,Awesome,Amazing,Beautiful. A clever Mind.

Luke 8:3"Joanah Mkewe kuzi,Wakili wa Herode."

Ushawahi kuusikia Wimbo wa Afro b- Joanah...?

Kama bado utufatute upo vyema.

Kipi cha ziada ulichokiona katika wimbo Katchua ilioimbwa na Ya levis...?

Kwanini unaupenda sana wimbo huo ...?
Mwanaume: Mrefu kuliko mimi

Mpira: England-Manchester United
Bongo-Simba
Spain:Barcelona
France: PSG

Timu ya taifa: France

Mchezaji bora muda wote: Diego Maradona [emoji16]

Mziki: Ya levis-katchua
Eminem-cleaning out my closet
G eazy-Good life
Tyga- 1 of 1

Vinywaji: Maji,maziwa

Movies: What happened to monday
Wonder
Death note

Mtandao bora: Jamiiforums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume: Mweusi Kama mweupe asiwe ile mweupeeee. Mwenye mwili wa mazoezi. Asiwe mchoyo. Kichwani kuwe fresh sio nimzidi maarifa.

Yanga kwa Tz na Chelsea Majuu.

Chama changu cha siasa CCM na mwanasiasa ninaemkubali Tundu Antipas Lissu

Muziki napenda wa taratibu hasa nyimbo za malovee (kwa sababu napenda mapenzi)

Mwanamuziki bora kwangu wa miaka yote Ni Witney Houston.

Chakula: Wali samaki, Ugali dagaa na biriani.

Vingine nikikumbuka ntajazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Mwanaume Mrefu tayari Ulishampata nipo hapa japo sjawahi kukutia machoni hahaha!!!Nipo Mithili ya NBA Players.

Joanna/Joanah Means= God is Gracious, Perfect Woman,Awesome,Amazing,Beautiful. A clever Mind.

Luke 8:3"Joanah Mkewe kuzi,Wakili wa Herode."

Ushawahi kuusikia Wimbo wa Afro b- Joanah...?

Kama bado utufatute upo vyema.

Kipi cha ziada ulichokiona katika wimbo Katchua ilioimbwa na Ya levis...?

Kwanini unaupenda sana wimbo huo ...?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyimbo ya Afro b-joanah ninayo 😁

Nyimbo ya katchua napenda tu namna alivyosound japo sijui alikuwa anamanisha nini
 
Nyimbo ya Afro b-joanah ninayo [emoji16]

Nyimbo ya katchua napenda tu namna alivyosound japo sijui alikuwa anamanisha nini
Umetisha,

Hahaha!!!Afro-B...Jo-Jo-Joana,drogba...Yo.

Kuna baadhi ya Nyimbo hata kama hueweli maana yake lakini njisi mpangilo wa Sauti na vinanda zilivyopangiliwa basi vinakufanya una nyoosha mikono juu kwa ishara ya kuukubali.

Ya levis alisound vizuri,Ukiwa na kipenzi chako Weekend huku mnaburudika na Bia baridi au Zanzi au Jack Daniel Basi kawimbo kapo poa sanaaaa,Katchuaaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shabiki namba moja wa Newcastle United Tanzania
The Magpies
Toon Army
HowieTheLad

Na soka ndiyo ulevu wangu namba moja
Napenda kubet saaaaaaaaanaaa

Namkubali Samuel Eto'o Phils

Nina uchizi na muziki hasa wa nyimbo za injili
Napenda sana kazi za Suleimani Wilson (unaweza tafuta nyimbo zake na kunipa mrejesho) Napenda kuimba kwa kupiga kelele sana naposikiliza muziki

Sizipendi Smba na Yanga kutoka moyoni natamani siku moja zishuke daraja
Hapo kwenye Simba na Yanga tupo same same.
 
Back
Top Bottom