Hebu tuone memba wenye interest zinazofanana, starehe, vinywaji, mpira, siasa

Imekaa vizuri Dada.
Kweli wewe ni madame.
Ndiyo maana nakupenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tbh
Wanaume:Napenda warefu , napenda weupe na maji ya kunde.

Mpira :sishabikii wala kufuatilia .

Chama cha siasa: Sina Chama.

muziki: Siyo mpenzi wa miziki.

Mwanasiasa bora : Tundu lissu

Movies : animation movies and cartoons movies.

Vinywaji : tropical juice, Fanta Orange.


Mtandao wa kijamii bora: jamii forums.

Napenda kupika na kuandaa vyakula na juice.

Napenda kuogelea na Ku bembea.

Napenda watoto na ninapenda kucheza nao.
TV : POP, BABY TV, NICKELODEON, SMILE OF A CHILD, JIMJAM na ST KIDS



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubembea hapo hapo najua kubembeza
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Safi sana,

Mambo gani yanayosababisha unamkubali bwana Marcus Garvey..?

Taarifa zinadai huyu bwana hakuwahi kukanyaga Ardhi ya Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Mwanaume Mrefu tayari Ulishampata nipo hapa japo sjawahi kukutia machoni hahaha!!!Nipo Mithili ya NBA Players.

Joanna/Joanah Means= God is Gracious, Perfect Woman,Awesome,Amazing,Beautiful. A clever Mind.

Luke 8:3"Joanah Mkewe kuzi,Wakili wa Herode."

Ushawahi kuusikia Wimbo wa Afro b- Joanah...?

Kama bado utufatute upo vyema.


Kipi cha ziada ulichokiona katika wimbo Katchua ilioimbwa na Ya levis...?

Kwanini unaupenda sana wimbo huo ...?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume: Mweusi Kama mweupe asiwe ile mweupeeee. Mwenye mwili wa mazoezi. Asiwe mchoyo. Kichwani kuwe fresh sio nimzidi maarifa.

Yanga kwa Tz na Chelsea Majuu.

Chama changu cha siasa CCM na mwanasiasa ninaemkubali Tundu Antipas Lissu

Muziki napenda wa taratibu hasa nyimbo za malovee (kwa sababu napenda mapenzi)

Mwanamuziki bora kwangu wa miaka yote Ni Witney Houston.

Chakula: Wali samaki, Ugali dagaa na biriani.

Vingine nikikumbuka ntajazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nyimbo ya Afro b-joanah ninayo 😁

Nyimbo ya katchua napenda tu namna alivyosound japo sijui alikuwa anamanisha nini
 
Nyimbo ya Afro b-joanah ninayo [emoji16]

Nyimbo ya katchua napenda tu namna alivyosound japo sijui alikuwa anamanisha nini
Umetisha,

Hahaha!!!Afro-B...Jo-Jo-Joana,drogba...Yo.


Kuna baadhi ya Nyimbo hata kama hueweli maana yake lakini njisi mpangilo wa Sauti na vinanda zilivyopangiliwa basi vinakufanya una nyoosha mikono juu kwa ishara ya kuukubali.


Ya levis alisound vizuri,Ukiwa na kipenzi chako Weekend huku mnaburudika na Bia baridi au Zanzi au Jack Daniel Basi kawimbo kapo poa sanaaaa,Katchuaaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye Simba na Yanga tupo same same.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…