Hebu tuone memba wenye interest zinazofanana, starehe, vinywaji, mpira, siasa

Hip hop,Regge,Zilipendwa miaka ya 90 kushuka

Wanawake weupe vibajaji

Jay jay Okocha

Movi za ki pelelezi

Jamiiforums ndio mpango mzima wa habari na vichekesho kwangu.

Zitto Zuberi Kabwe ndio mwanasiasa wangu Tz.
 
Mpira: Club&National Team
Simba Sc
Manchester United
Taifa Stars

Wachezaji ninao wapenda:
Messi (La Pulga)
Rooney(WAZZA)
De Gea
Okwi (Emosting)

Nyimbo ninazopenda kusikiliza
Chris Martin - Let her gor
Enrique Iglesias - Heart Attack
Lucky Dube - Remember me
Ali Kiba - Mack Muga

Siasa:
Sifagilii

Movie:
Italian Job
Mission impossible
Titanic

Chakula:
Ugali Samaki
Wali Maharage
Pilau (kapire)

Vinywaji:
Home made juice

Pombe&Sigara:
Situmii na Sitotumia

MWANAWAKE:
Sipendi mvaa mawigi
Sipendi mbandika kucha & kope
Sipendi tipwatipwa tetema
Sipendi mfupi [emoji16]
 
Wanaume - Yoyote mwenye haiba za kiume urefu unanifurahisha zaidi.

Mpira: Barcelona

Series: Game of thrones

Kinywaji: Safari & Smirnoff Ice

Muziki: Napenda Good music
Oldies
Hip-hop

Wimbo bora bora: Love yours[emoji7]

Wanamuziki bora: J Cole
Kendrick Lamar
Lionel Richie
Baby Face

Mitandao bora: Twitter
Jamii Forum


Muvi bora: Bohemian Raphsody

Msemo bora: Hata uwe mbaya vipi yupo anaye kulilia
 
Very beautiful, brainy and humble. Wapo wachache sana
 
Nimependa msemo wako, ukiona mtu ananililia mahali naomba unitonye
 
Very beautiful, brainy and humble. Wapo wachache sana

Yes, naamini kwenye level yangu ya competition.

Ninaweza ku-compromise kwenye beautifulness lakini brainy and humbleness is not for compromise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…