-Naipenda timu ya Yanga sc
-Napenda mwanamke mwenye shap ila asiwe mnene awe kama Demiss
-napenda kusoma biblia kuliko vitabu vyote.
-EPL man united
-Gaucho ndo mchizi wangu
-Laliga r.Madrid japo kawa kimeo.
-kocha bora ole guner
-mshangiliaji bora akitupia goli pogba.
Mwisho wadada wembamba kawaida and natural body sijawahi kuwadiss na sitaweza kuwadiss hadi kiama.
Mambo mengi ila mda kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app