Kwa mfano mtu akawa umejitahidi ukajenga nyumba yake ikafika hadi tofali la mwishoni akakosa hela y'a kumalizia huku anaishi nyumba ya kupanga akaenda kuchomoa hela mahali ya mkopo akamalizia kwa kiasi akawa anatokea kwake n'a kila mwezi akiondoa hela ya déni akawa n'a uwezo wa kutafuta laki tatu kila mwezi kwa matumizi ya familia....Je kama hana familia kubwa.. Anamke n'a watoto wawili wote wadogo haezi bajeti hio héla akaaishi kama atakuwa amemalizia hio nyumba akawa anatokea kwake...?
Kwa uandishi huu hiyo nyumba hutamaliza kamwe.Kwa mfano mtu ukawa umejitahidi ukajenga nyumba yake ikafika hadi tofali la mwishoni akakosa hela y'a kumalizia huku unaishi nyumba ya kupanga ukaenda kuchomoa hela mahali ya mkopo ukamalizia kwa kiasi akawa anatokea kwake n'a kila mwezi akiondoa hela ya déni akawa n'a uwezo wa kutafuta laki tatu kila mwezi kwa matumizi ya familia....Je kama huna familia kubwa.. Unamke n'a watoto wawili wote wadogo huezi bajeti hio héla ukaishi kama utakuwa umemalizia hio nyumba ukawa unatokea kwako...?