ketone
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 509
- 655
Kwa mfano mtu ukawa umejitahidi ukajenga nyumba yake ikafika hadi tofali la mwishoni akakosa hela y'a kumalizia huku unaishi nyumba ya kupanga ukaenda kuchomoa hela mahali ya mkopo ukamalizia kwa kiasi akawa anatokea kwake n'a kila mwezi akiondoa hela ya déni akawa n'a uwezo wa kutafuta laki tatu kila mwezi kwa matumizi ya familia....Je kama huna familia kubwa.. Unamke n'a watoto wawili wote wadogo huezi bajeti hio héla ukaishi kama utakuwa umemalizia hio nyumba ukawa unatokea kwako...?