Hebu tuwatazame,nani ni nani pale WCB?

Hana la maana pale zamani alikuwa anahusika na promo za ndani ya nchi ila siku hizi wanajitangaza wenyewe
Sasahivi amebakia tu mr ndio bora bora anapata senti ila hata aondoke leo hana sumu japo kila baada ya miezi 2 huenda moro kuchinja mbuzi
Mr ndio ni nani huyo mkuu
 
Sawa ww na elimu yako? Una nn kumzidi asie na elimu. Babu talent
 
Zamaradi inabidi ajue hili jina lake kuwa yeye ni mama mwenye watoto wengi ila baba tofauti haaa haaa

Alafu uyu dada tangu katoka clouds media kawa kama shangingi wa mjini naye sasa hivi ajiamini anapenda ubuyu ubuyu kutwa kupost alafu vitu anavyopost sasa tofauti na awali yani kawa cheap sana kwa sasa.
 
Tatizo LA hawa vijana ni kukosa wasimamizi wanaoelewa marketing ya music, washauri wa masuala ya uwekezaji kutokana na pesa wanayoipata katika muzic. Hapo wengine wangebaki kuwa watunzi hafu baadhi wakawa waimbaji. Tatizo la muzic wa vijana wa kitanzania kutaka kila msanii aonekane anaimba
 
Naunga mkono kwa 95% mkuu
 
Sawa ww na elimu yako? Una nn kumzidi asie na elimu. Babu talent
Manager alikuwa ni ABDUL BONGE ila kwa kuwa ana undugu na BABU TALE akawa anamtuma tuma CD na nini, mpaka leo wanamchukulia kama manager lakini Uswahili mwingii na uwezo mdogo sana
 
Acha kutukana watu ,huyo kibakuli wenu muziki umeshamshinda kaona bora acheze mpira tu ili asizidi kuwa masikini.
 
Na hii ndio target ya WCB kupenda kuongelewa kila uchwao iwe + au - ilimradi lengo lao linatimia la kubaki modomoni na vichwani mwa watu na kumake headlines
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…