Hebu tuwatazame,nani ni nani pale WCB?

Babu Tale anamjengea Confidence Sallam, maana jamaa mjini kitambo lakini pia anapoza nyodo za jamaa maana tangu wapate matokeo chanya katika kazi Sallam amekuwa mbogo kwa media kubwa kubwa kama ilivyotokea kwa Clouds. Pia ameshindwa kuzibiti siasa za Makonda kutokuathiri mziki wao kwahiyo uwepo wa Tale ni strategic zaidi katika WCB yaani ndo tunaweza kumuita shock absorber.
 
Halaf huyu ni dizaini ya akina polepole yaan hajulikani kama alizaliwa Bolingo Era au .com era. Nilianza kumsikia tangu nipo darasa la awali lakini mpka leo ni mkavumkavu hivyohivyo
[emoji23]nimecheka sanaa
Pole pole mi nimeshindwa kumkadiria umri mpaka leo
Zamaradi ni kweli wa kitambo,kina jay mo walimtaja mno
 
kwa hiyo kutoka zari tu Zaituni chombo kimeyumba hakika chuchunge umeleta nuksi hata kwenye mziki
 
hahahaaa hahaaa hahaaaaaaa

daaaah wabongo kweli nyoso "" bila shaka mwenye mamlaka. na huu uzi atakuwa ni ali kiba tu
 
Hana la maana pale zamani alikuwa anahusika na promo za ndani ya nchi ila siku hizi wanajitangaza wenyewe
Sasahivi amebakia tu mr ndio bora bora anapata senti ila hata aondoke leo hana sumu japo kila baada ya miezi 2 huenda moro kuchinja mbuzi
hahaaa " lakini hao mbuzi siwana chinja wote kwani ni tale tu pekee "" ? halafu ile case yke iliishaje ""?
 
uneongea points sana " tatizo uandishi WA nyimbo kibongo bongo haulipi " na ukiwa muandishi " huwezi kupata fame " so vijana wasasa kila mtu anatak fame so Wahisi " nani ambaye atakaye kubali kuwa nyuma ya camera awe anapewa sifa za utunzi tu huku Jamie haimjui ""
 
Halaf huyu ni dizaini ya akina polepole yaan hajulikani kama alizaliwa Bolingo Era au .com era. Nilianza kumsikia tangu nipo darasa la awali lakini mpka leo ni mkavumkavu hivyohivyo
hahahaaa
 
[emoji23]nimecheka sanaa
Pole pole mi nimeshindwa kumkadiria umri mpaka leo
Zamaradi ni kweli wa kitambo,kina jay mo walimtaja mno
acha basiiiiiii"", hivi ndiye huyu aliyetajwa kwenye KAMA UNATAKA DEMU MMMH "" kama ndiye huyu basi ni AJUZA aisee
 
Kuchukia mafanikio ya mtu au watu wakati huna msaada wowote kwao ni sawa na kuruka salakasi huku umevaa msuli utaaibika tu.
 
Kuna raha ya aina yake kusoma uandishi wa namna hii!.....hahahahaaaaa hii ndio JF si kila mara hard news!
Umeona eeh. Sio kila siku madiwani wamenunuliwa, mara nani kahama chama! Acha tutulie huku kwanza
 
Halaf huyu ni dizaini ya akina polepole yaan hajulikani kama alizaliwa Bolingo Era au .com era. Nilianza kumsikia tangu nipo darasa la awali lakini mpka leo ni mkavumkavu hivyohivyo
Hahahaaa, you made my day... Mpaka leo ni mkakamavu.. Nimemvutia picha ule muonekanao wake nimeishia kucheka tu.
 
We jamaa mkuda sana ha ha ha et mavazi yanajieleza duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…