Magufuli siasa zake ni vigumu mno Kwa mpinzani yeyote kuzielewa na kuzimudu,! Yule sio kikwete, ni Magufuli, Chuma cha pua, mpenda nchi yake, anayekerwa na umaskini Kwa vitendo,anajua kusimamia senti Kwa senti, mwenye kuitazama nchi Kwa jicho la mbaaaali mno, sio level ya wapinzani uchwala, ni Mtanzania mwenye akiri nyingi na kipaji cha upekee
Mimi Hadi hivi sasa nimekuwa na maswali meeengi kuhusiana na tawala zilizopita
Ikiwa leo tuna Miradi miiiingi inayoendelea kujengwa na iliyokwisha kujengwa kipindi tu cha miaka mitano na Wakati huohuo Watu wanajatibu kulinganisha tawala zilizopita zilizotumika Kwa miaka kumi na utawala wa miaka mitano Tu!!!
Je, kipindi hicho pesa zetu zilikuwa zinaenda wapi? Je, endapo tungelikuwa na Uongozi wa Aina hii tokea mwanzo Leo tungelikuwa wapi?
Magufuli, Watanzania hawatakulipa kabisa, wewe utalipwa Mungu Tu! Sisi Zawadi yetu ni kukupa Kura ndio malipo yetu