Elections 2015 Hebu tuwe serious, hivi kuna mtu ana akili timamu anategemea Magufuli atakuwa Rais?

Ni
😁😁😁
Nilimkubali Sana mh.Lowassa kwa maneno yake mafupi pale aliporudi CCM,nanukuu;
1.Assalaam alaikum
2.Tumsifu yesu kristo
3.Nimerudi nyumbani
4.Usiniulize kwa Nini

KAMALIZA
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Haya mwanafunzi wangu sema jamhuli ya chato wasiojulikana ni niwengi pia kumbuka King juha hana Rafiki wa kudumu siku yoyote atakusingizia unatongoza wake za watu.
 
Jiwe limekuwa Rais lakini hoja zote alizozisema yuko sahihi.
Jiwe ni mtu wa idadi na sio ubora.
Jiwe hana sifa ya diplomasia
 
Jiwe limekuwa Rais lakini hoja zote alizozisema yuko sahihi.
Jiwe ni mtu wa idadi na sio ubora.
Jiwe hana sifa ya diplomasia
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Tangu mwaka ulioanza kumpinga kuwa hatakuwa Raisi wa nchi hii, tokea hapo maneno yako yakawa ndio kibali cha yeye kuwa Rais na atakwendaaa Hadi 2025! Hayupo MWANADAMU ambaye anahatima ya mwingine, litambue Hilo ili karma isije kukuhukumu tena
 
Hiv
Jiwe limekuwa Rais lakini hoja zote alizozisema yuko sahihi.
Jiwe ni mtu wa idadi na sio ubora.
Jiwe hana sifa ya diplomasia
Hivi Kuna waheshimiwa waliokuwa na DIPLOMASIA km AWAMU ILIYOPITA?!!!

"Diipoolomasiaa" yao ilitufanya tupewe "MSAADA" wa VYANDARUA VYA kuzuia mbu(ITN) kutoka SERIKALI ya marekani,alhamdulillahπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Non
Tangu mwaka ulioanza kumpinga kuwa hatakuwa Raisi wa nchi hii, tokea hapo maneno yako yakawa ndio kibali cha yeye kuwa Rais na atakwendaaa Hadi 2025! Hayupo MWANADAMU ambaye anahatima ya mwingine, litambue Hilo ili karma isije kukuhukumu tena
Nondo nzito..
 
So har hana sifa za kuwa rasi ndio maana kaanza kampeni mapema na wapinzani wamezuiwa,.
Hajui siasa ila analazimisha siasa.
 
So har hana sifa za kuwa rasi ndio maana kaanza kampeni mapema na wapinzani wamezuiwa,.
Hajui siasa ila analazimisha siasa.
Magufuli siasa zake ni vigumu mno Kwa mpinzani yeyote kuzielewa na kuzimudu,! Yule sio kikwete, ni Magufuli, Chuma cha pua, mpenda nchi yake, anayekerwa na umaskini Kwa vitendo,anajua kusimamia senti Kwa senti, mwenye kuitazama nchi Kwa jicho la mbaaaali mno, sio level ya wapinzani uchwala, ni Mtanzania mwenye akiri nyingi na kipaji cha upekee

Mimi Hadi hivi sasa nimekuwa na maswali meeengi kuhusiana na tawala zilizopita

Ikiwa leo tuna Miradi miiiingi inayoendelea kujengwa na iliyokwisha kujengwa kipindi tu cha miaka mitano na Wakati huohuo Watu wanajatibu kulinganisha tawala zilizopita zilizotumika Kwa miaka kumi na utawala wa miaka mitano Tu!!!

Je, kipindi hicho pesa zetu zilikuwa zinaenda wapi? Je, endapo tungelikuwa na Uongozi wa Aina hii tokea mwanzo Leo tungelikuwa wapi?

Magufuli, Watanzania hawatakulipa kabisa, wewe utalipwa Mungu Tu! Sisi Zawadi yetu ni kukupa Kura ndio malipo yetu
 
.....Huyo aishi manula anadaka kama nyani........shiboub na pasi za mikogo huku kahata anasambaza wanaupataaaaaaaaa........
 
Mwenyezi Mungu alisaidie taifa letu hili liwe na VIJANA wenzetu wengi wenye fikra chanya km zako,aamin rabbil aaalamin!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…