Preta hiyo blue hapo haijaeleweka unauliza mdada kutoka outing mwenyewe au akiwa amealikwa? Ulivyoiweka ni kama mwanadada vile mwanadada anatakiwa aende out mwenyewe iwe ni mziki au kwenye kinywaji mi sijakuelewa kabisa mpenziKuna hii habari nilisikia wiki iliyopita clouds lakini haikunikalia vizuri sasa naomba maoni kutoka kwa wahusika.
Kwa kina dada walio wengi linapokuja swala la kutoka outing (mtoko) mara nyingi utakuta lazima atoke na shoga yake/zake, ni wachache sana ambao wanaweza kwenda sehemu peke yao kwa kinywaji, muziki au hata kwenye sherehe mbalimbali. Utakuta yuko radhi aingie gharama ili mradi aende na shoga yake je nia ni nini? kutokujiamini? woga au ni nini hasa, na je wakina kaka unapokuwa umemualika mdada kwa kinywaji,dinner etc unakuwa na mtazamo gani unapomuona amekuja na shoga yake/zake? Hebu tusaidiane kwa hili
Kuna hii habari nilisikia wiki iliyopita clouds lakini haikunikalia vizuri sasa naomba maoni kutoka kwa wahusika.
Kwa kina dada walio wengi linapokuja swala la kutoka outing (mtoko) mara nyingi utakuta lazima atoke na shoga yake/zake, ni wachache sana ambao wanaweza kwenda sehemu peke yao kwa kinywaji, muziki au hata kwenye sherehe mbalimbali. Utakuta yuko radhi aingie gharama ili mradi aende na shoga yake je nia ni nini? kutokujiamini? woga au ni nini hasa, na je wakina kaka unapokuwa umemualika mdada kwa kinywaji,dinner etc unakuwa na mtazamo gani unapomuona amekuja na shoga yake/zake? Hebu tusaidiane kwa hili
je wakina kaka unapokuwa umemualika mdada kwa kinywaji,dinner etc unakuwa na mtazamo gani unapomuona amekuja na shoga yake/zake? Hebu tusaidiane kwa hili
Hapo najua huyu anataka "pazia". Na kama hali ndo hiyo huwa naondoka mwenyewe...bili atalipa yeye apo.....ustaarabu hakuna apo!
Kwanza, wengi wa wanaume huwa wanachelewa kwenye vi-date. Msichana anaweza kujikuta anasubiri hadi nusu saa. Kwa hiyo ukiwa na shosti wako unapata kampani wakati unamsubiri jamaa.
Sababu nyingine, wanaume ni wepesi kutaka kula kitumbua baada ya mtoko, hata kama ni mtoko wa kwanza. Na wasichana wengi hawana ujasiri wa kukataa kutoa kitumbua kutokana na ushawishi mkubwa walio nao wengi wa wanaume. Hivyo basi, kujiepusha na hili, wengi wa wasichana hupenda kutoka na marafiki zao katika maswala mazima ya kujiongezea confidence na kuepuka kutoa kitumbua kabla hata hakijaeleweka.

Preta sio kutojiamini kwa mie kiukweli huwa nashindwa toka out alone cause unaweza kwenda sehemu ukabaki unashangaa shangaa tu huna hata wa kuongea nae na ukiwa unapenda lager kama nanihii unaweza jikuta umemaliza kreti la UHURU ...unakuwa hauko confotable ..mkiwa wawili na mnafahamiana ..inakuwa rahisi hata story zinaiva ...😉

mmhhh!Kwanza, wengi wa wanaume huwa wanachelewa kwenye vi-date. Msichana anaweza kujikuta anasubiri hadi nusu saa. Kwa hiyo ukiwa na shosti wako unapata kampani wakati unamsubiri jamaa.
Sababu nyingine, wanaume ni wepesi kutaka kula kitumbua baada ya mtoko, hata kama ni mtoko wa kwanza. Na wasichana wengi hawana ujasiri wa kukataa kutoa kitumbua kutokana na ushawishi mkubwa walio nao wengi wa wanaume. Hivyo basi, kujiepusha na hili, wengi wa wasichana hupenda kutoka na marafiki zao katika maswala mazima ya kujiongezea confidence na kuepuka kutoa kitumbua kabla hata hakijaeleweka.
lol basi hii heading na maelezo nilikuwa sijaelewa ..Ni kutolewa out ndo unakusanya group au hata wewe mwenyewe ukiamua kutoka out?[/QUOTE]
ni katika hali zote mbili, ila katika kutolewa ni pale ambako wahusika hawana mazoea ya sana
hata kama kachelewa wewe huwezi kuendelea na kinywaji chako ukimsubiri?
....hiyo sababu ya pili sorry lakini ni ya kujinga mno nashindwa kuielezea.
lakini mbona mwanaume yeye huwa anaweza kwenda mahali mwenyewe na akaenjoy tu?
hivi kitumbua ndo nin?
You missed the point, je ni lazima uyaelezee mawazo ya mchangiaji mwenzio? Nilidhani ungeyadiscuss.