Kwanza, wengi wa wanaume huwa wanachelewa kwenye vi-date. Msichana anaweza kujikuta anasubiri hadi nusu saa. Kwa hiyo ukiwa na shosti wako unapata kampani wakati unamsubiri jamaa.
Sababu nyingine, wanaume ni wepesi kutaka kula kitumbua baada ya mtoko, hata kama ni mtoko wa kwanza. Na wasichana wengi hawana ujasiri wa kukataa kutoa kitumbua kutokana na ushawishi mkubwa walio nao wengi wa wanaume. Hivyo basi, kujiepusha na hili, wengi wa wasichana hupenda kutoka na marafiki zao katika maswala mazima ya kujiongezea confidence na kuepuka kutoa kitumbua kabla hata hakijaeleweka.