Hebu tuwekane sawa kwenye hili

Hebu tuwekane sawa kwenye hili

pole kama nili mic point lakini nicngeweza ku discuss hiyo niliyo ku qoute hapo chini, khaaa kazi ipo.

"Na wasichana wengi hawana ujasiri wa kukataa kutoa kitumbua kutokana na ushawishi mkubwa walio nao wengi wa wanaume"

Kama u mmoja wao, pole bibie.
 
Normally hii inakuwa kwenye first date ambapo mvulana hajaweka wazi nia yake na msichana pia unakuta hamjui vizuri huyu mdate wake hivyo anaomba mtu wa kumsindikiza for the first time, thereafter akishajua jamaa yuko vipi basi wanaweza wakawa wanatoka wote.
Kingine unakuta wasichana wengi wana ma bf na unakuta rafikiye anamjua na akitoka outing peke yake inaweza ikafika kwa bf kuwa amekwenda kumegwa sasa ili kuondoa huo umbea basi anapata bodyguard!!!
 
Preta nimekuomba ufafanuzi wa post yako sijaielewa vema je ni katika kutolewa out au kutoka out?

Nitagoma kuongea mimi!! Shauri yako
 
Kingine unakuta wasichana wengi wana ma bf na unakuta rafikiye anamjua na akitoka outing peke yake inaweza ikafika kwa bf kuwa amekwenda kumegwa sasa ili kuondoa huo umbea basi anapata bodyguard!!!

Hii inawezekana ila haiapply mara zote. Kuna watu wanasindikizwa na marafiki zao na wanaenda kumegwa huku rafiki akiwa anamsubiri, akimaliza mauroda wanasepa. Wengine ndio worse kabisa wanafanya featuring...threesome
 
Wanawake wengi hawajiamini. Unavyoogopa kutoka mwenyewe ukatoka na kundi la marafiki ni vigumu kutengenza marafiki wapya kwa vile utakuwa na wale tuuuu. Pia hupanui wigo wako wa kufikiri na kupambanua mambo kwa vile ur only confined to a certain group of individuals.
 
Wanawake wengi wamelelewa kutojiamini.

Kwa signature yako ndugu Nguli, chukua tano.
 
Kwanza, wengi wa wanaume huwa wanachelewa kwenye vi-date. Msichana anaweza kujikuta anasubiri hadi nusu saa. Kwa hiyo ukiwa na shosti wako unapata kampani wakati unamsubiri jamaa.

Sababu nyingine, wanaume ni wepesi kutaka kula kitumbua baada ya mtoko, hata kama ni mtoko wa kwanza. Na wasichana wengi hawana ujasiri wa kukataa kutoa kitumbua kutokana na ushawishi mkubwa walio nao wengi wa wanaume. Hivyo basi, kujiepusha na hili, wengi wa wasichana hupenda kutoka na marafiki zao katika maswala mazima ya kujiongezea confidence na kuepuka kutoa kitumbua kabla hata hakijaeleweka.

Haaaaahaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!! Ahsante kwa elimu yako, umenielimisha kidogo!!!!!!!!
Ila huoni kama unamwongezea gharama mshiksji?
 
kote kuwili

Aksante Preta.

Kuhusu kutoka out- kimwenyewe mwenyewe mh huwa naona kama haikuji vile? Utatokaje out mwenyewe kama mchawi? Unless unaenda kwenye movie but bar, club? Sijui hata wanaume huwa wanaendaga in company- anakuwa anakutana na friends there au mimi ndo nakosea?

Kutolewa - hii ikitokea mara nyingi huwa ni tabia ya uswahili- unatolewa out halafu unakwenda na shoga ili iweje sasa? Utaenjoy vipi na yule anayekutoa out?
 
Wanawake wengi hawajiamini. Unavyoogopa kutoka mwenyewe ukatoka na kundi la marafiki ni vigumu kutengenza marafiki wapya kwa vile utakuwa na wale tuuuu. Pia hupanui wigo wako wa kufikiri na kupambanua mambo kwa vile ur only confined to a certain group of individuals.
kuna ule wimbo wa kina nani wale... una kibwagizo cha sio kila mara mwanamke akienda bar ni muhuni........

Hii imejengeka sana miongoni mwa jamii yetu kuwa mwanamke akikaa bar au sehemu ya starehe mwenyewe basi anawinda nadhani wengi tumeathiriwa na hii. Na mara nyingi ukiwa peke yako utaona jinsi wabwanga wanavyojichekeshachekesha kwako.
 
ni kuchunana tu akuna jingine na wengi wanatabia hiyo sana umemwalika umepanga bajeti yako na yy anaenda kuchukua shoga yake wachune buzi
 
Mmmh! Hii topic imefika mbali sana! Ngoja nikae kimya tu!
 
Aksante Preta.

Kuhusu kutoka out- kimwenyewe mwenyewe mh huwa naona kama haikuji vile? Utatokaje out mwenyewe kama mchawi? Unless unaenda kwenye movie but bar, club? Sijui hata wanaume huwa wanaendaga in company- anakuwa anakutana na friends there au mimi ndo nakosea?

Kutolewa - hii ikitokea mara nyingi huwa ni tabia ya uswahili- unatolewa out halafu unakwenda na shoga ili iweje sasa? Utaenjoy vipi na yule anayekutoa out?

nimecheka kwa sauti kubwa, mana mie ni mmoja wapo wa hao wachawi unaowazungumzia...haaa we MJ1, unajua inategemeana na mazingira, kama huku nai cna ma frnd kabisa, unakuta wakati mwingine nipo bored tu home inabidi niende upande wa pili nikajitundike mbili nijirudie home, kwahiyo inategemea na mtoko wenyewe....weekend yako iliendaje dear?
 
bajaribu kuifuatilia sredi,dah!nachemka
 
kuna ule wimbo wa kina nani wale... una kibwagizo cha sio kila mara mwanamke akienda bar ni muhuni........

Hii imejengeka sana miongoni mwa jamii yetu kuwa mwanamke akikaa bar au sehemu ya starehe mwenyewe basi anawinda nadhani wengi tumeathiriwa na hii. Na mara nyingi ukiwa peke yako utaona jinsi wabwanga wanavyojichekeshachekesha kwako.

hiyo blue ni kweli kabisa, lakini kwangu mie nawekaga pamba mackioni mana naenda kula jasho langu na kupunguza msongo wa mawazo....hiyo red ni kweli kabisa na utashangaa unaletewa beer unaambiwa imetoka kwa yule baba pale, mie nipo we ndio umpe anywe nitamlipia....nyamafu.
 
Back
Top Bottom