Hebu tuzione picha za binti mrembo Wema zilizo wakosha wengi

Iyo Picha ya tano sio ya wema naona mahaba yamekuzidi mpka unaamuwa kuchukua watu wenye mtako wa maaaana kufidia mtako wa hovyohovyo wa sepenga.
Hehehe
 
Iyo Picha ya tano sio ya wema naona mahaba yamekuzidi mpka unaamuwa kuchukua watu wenye mtako wa maaaana kufidia mtako wa hovyohovyo wa sepenga.
Ahahaaaaaaah...
Hata mimi nilikua najiuliza mkuu..!!!
Sepenga angekua na KICHUGUU cha namna hii bila shaka hata MIMI ningemtafuta..!!!
 
Picha ya 5 sio Wema Sepetu, japo ana vigezo vyote nivitakavyo including na vya Sheikh Kipozeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…