Hapana judgement hili goti ni la siku nyingi..........sa kwakuwa mamdenyi analifahamu ndo maana nikaamua kumfuata tena!
BTW, kwetu hakunaga bodaboda.
Kuna daladala za baiskeli tu...
Hata hizo nazo zinaumiza !
Bt nijuavyo mie now dayz hakunaga kona ya nchi pasipokua na pikipiki !
Kwa hilo hujawa mkweli .
Aidha niku'pole na maumivuyo!
So far hukuwahi upeleka kwa babu?
...tena akiikosa akachukue ya Muzungu.
Au ya Govindaaaa...lol...!!!
Anajifanya kuaga kumbe hata
aondoki, Anachungulia kwa dirishani......we
Ralphryder jitokeze nje tu tukupe salamu
zako.
Asulo habari za asubuhi! nililala kdg nimepita tena, kwa mbaali nikakuona kama umenisemesha vile! nawahi daladala! badae kdg!
mmmhhhh! kwani huu mtaa gani??? ni chit chat au ni kule kwingine?? isijekuwa nimekosea njia, jamani naomba kushikwa mkono kuongozwa, lol!
nashanga!!!