GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Binafsi nisiwafiche kwani sitaki na wala sitamami kwa sasa kwani Kiufundi kwa sasa Simba SC hatuna Kikosi thabiti cha Kucheza na Yanga SC iliyoko Relini na ya Moto kila Idara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆Wakiweka majini pembeni mbona wanapigika tuu hao Utomajini?
Kwa nini haiwezi kutokea?Sidhani kama kuna haja ya kujadili kitu ambacho hakipo na hakiwezi kutokea kwa msimu huu.
Labda kuanzia nusu fainali huko ila kwa robo fainali ni ngumu sana team zilizomaliza makundi katika nafasi ya pili kukutana.Kwa nini haiwezi kutokea?
Mkuu timu zipi zimemaliza nafasi ya pili? Mbona kama tayari una matokeo yako na wakati mechi bado hazijachezwa?Labda kuanzia nusu fainali huko ila kwa robo fainali ni ngumu sana team zilizomaliza makundi katika nafasi ya pili kukutana.
Khaa..kuwa na Huruma,RafikiAggregate itasoma 10-1.
Wakiweka majini pembeni mbona wanapigika tuu hao Utomajini?
Nimesoma comments zote na nikagundua kuwa sisi mashabiki wa daima mbele nyuma mwiko hatujachunguza na kubaini kitu kuhusu mtoa mada amejitolea kututukana kwa rejareja.Binafsi nisiwafiche kwani sitaki na wala sitamami kwa sasa kwani Kiufundi kwa sasa Simba SC hatuna Kikosi
😂 😂 😂 😂Binafsi nisiwafiche kwani sitaki na wala sitamami kwa sasa kwani Kiufundi kwa sasa Simba SC hatuna Kikosi thabiti cha Kucheza na Yanga SC iliyoko Relini na ya Moto kila Idara.
Unakumbuka siku ile nilikwambia dada yangu tulia hii mechi tunashinda nyingi sana 🔥🔥🔥🔥 na kweli mwarabu akafa 4 kavuWazee wa Kupeleka motoo!💚💛🔥
SawaWakiweka majini pembeni mbona wanapigika tuu hao Utomajini?