Hebu wanaume sererekeni hapa.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Nianze na Salam.
Nimebahatika kusafiri kidogo hapa nchini kwetu,kusini,kaskazini,magharibi mpaka mashariki. Tangazo kubwa ninaloliona kwenye miti na mistimu ya umeme ni la waganga wakienyeji wakinadi uwezo wao wa kurudisha hashima ya ndoa.Jamani hivi nguvu za kijinsia limekuwa ni tatizo kiasi hiki,au tunazidisha mambo?
 
ni vizuri ukayaachiie hayo matangazo kwenye nguzo za umeme.. usitake kujua yote
 
Lakini hata na wasichana nao siku hizi hawatosheki sijui,labda wanaanza mapema mno.
Wasichana hatutosheki sababu yenu!!! Mmeweka kipaumbele sana kwenye kupiga magoli mnasahau kua jinsi ya kuenjoy sex tumetofautiana na wanaume.
Kwa mwanamke maandalizi ni nusu ya tendo lenyewe, yaani ukipelea kwenye maandalizi ata umtwange saa nzima anaweza akatoka mtupu!!!
 
Huenda ni kweli hamchezewi itoshavyo,lakini je mnajua kuhamamasisha michezo? MC mbaya = sherehe mbaya.
 
hujatembea wewe...vijijini hamnaga hayo matangazo....kila mtu mashine
 
Yaani wanataka kumgegeda msichana kama wapo kwenye mashindano
Mtu anaweza akawa hana matatizo ila kwasababu ya story anazosikia kwa wengine anajiona kama hagegedi kisawasawa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]
 
Inasikitisha sana...

Hilo tatizo lipo ila wazee wa fursa wanatumia huo mwanya kutapeli walio wengi...


Cc: mahondaw
 
Kweli
 
lishe duni ckuiz ndomaana wanakimbilia kwa hao wapiga dili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…