torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,978
- 9,841
kwa hii point,Wasichana hatutosheki sababu yenu!!! Mmeweka kipaumbele sana kwenye kupiga magoli mnasahau kua jinsi ya kuenjoy sex tumetofautiana na wanaume.
Kwa mwanamke maandalizi ni nusu ya tendo lenyewe, yaani ukipelea kwenye maandalizi ata umtwange saa nzima anaweza akatoka mtupu!!!
aisee wewe ni koboko!