Hebu wanawake acheni huu upuuzi

Hebu wanawake acheni huu upuuzi

Trust me hainihusu kabisa, ninachostaajabu ni hiyo huge amount of consuming anger and range ambayo iko ndani yako. ...mbona huna amani kabisa STUNTER?
Mbona mimi amani ninayo?
labda wasiwasi wako tuu
 
Na wale wake za watu wenye akili za ubuyu inawahusu.
Mmeo akupendezeshe kisha unadanganyika na wahunihuni wa mtaani eti wanakupenda
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Miss Natafuta, najua wewe ni mwanaume Mwenzetu, badilika kidogo wacha mambo zako za kujidai eti wewe ni Mke . Otherwise tutangazie kuwa wewe ni chockstick, unaliwa
Hili wazo sii geni kwangu,...limewahi kunijia pia.....na kuna wengine watatu ME wenye ID za KE.
 
Na siku hizi anakuchukulia mume na bado chamoto utakiona..... Michambo hiyo!!! Kama wewe ndo mwizi wake
 
Back
Top Bottom