Hebu watu wamsaidie basi Polepole kisaikolojia. Ni kama kachangangikiwa.


Unyani uleee wa kale...
 
Anafanyiwa postmortem ya kisiasa
 
Mara nyingi mwendawazimu ndio huwaona wenzake wendawazimu hiyo ni kawaida kabisa
 
Huyo mama yenu alichoweza ni udalali wa kuuza mali za watanzania na kukopa Hana jipya lingine.
Haya ni mawazo yako.Ata magufuli wakati anataka kujenga bwawa la umeme na Sgr niko niyeona anakosea ila sasa hivi nikishirikisha akili zangu naona kuna maono aliyaona na matunda yake yatapatika badae.Kwahiyo ata wewe inawezekana unasukumwa na mambo mengine kusema hivyo na ni sawa kwasababu kila mtu ana mtazamo wake.
 
Jmn anajibu hoja za wanaomuuliza maswali utasemaje anarukia chochote....

Hajachanganyikiwa anajua anachokifanya Bado kitambo kidogo utaelewa km hajachanganyikiwa
 
Aah Magu huwezi mfananisha na yyt pamoja na mapungufu yake Alikuwa vzr
 
Mmechanganyikiwa nyie mnayekubali mwanamke atoke Zanzibar kuja kugombea Urais Tanganyika kana kwamba huku hakuna wanaume,hivi hao Wazanzibar wangekubali mwanamke atoke bara akagombee urais Zanzibar thubutu,ndiyo mjue ni wajinga kiasi gani
 
Wewe ndiye umechanganyikiwa,polepoke yupo sahihi na anaifahamu ccm na madudu yake kuliko wewe
 
Jibuni hoja zake.
Kutokujibu hoja pia ni kujibu hoja -refer 48 Laws of power by Robert Green. Kwenye siasa haujibu kila kitu na hasa ukiwa kwenye madaraka. Usije kuwa kama Ruto anataka kujifany smart wa kujibu kila kitu ... siasa ni chess. Sasa polepole anaanza kulilia kujibiwa ....
 
Embu tulia basi usituchoshe...embu eleza kila kitu alichoomgea
 
Mimi naona wewe ndio unachanganyokiwa! Hebu tafuta mwanasaikolojia chap!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…