Hebu watu wamsaidie basi Polepole kisaikolojia. Ni kama kachangangikiwa.

Nadhani hujamwelewa vizuri! Wanaomwelewa ni wale Great thinkers. Amezungumzia mambo mengi huku akitoa ushauri kwa maslahi mapana ya Taifa letu! Siyo maslahi ya CCM tu.
Ushauri wa kumwachia Lissu haukutolewa na Polepole tu! Umetolewa na wadau mbalimbali wa ndani (wakiwemo Wazee) na nje ya nchi.
Kesi ya Lissu inagusa maslahi ya watu wengi,kwa hiyo pamoja na mambo mengi ambayo Polepole ameyasema na kushauri,ni muhimu Lissu aachiwe.
 
Haya ni mawazo yako.Ata magufuli wakati anataka kujenga bwawa la umeme na Sgr niko niyeona anakosea ila sasa hivi nikishirikisha akili zangu naona kuna maono aliyaona na matunda yake yatapatika badae.Kwahiyo ata wewe inawezekana unasukumwa na mambo mengine kusema hivyo na ni sawa kwasababu kila mtu ana mtazamo wake.
Tena funga hilo Domo lako hiyo SGR na Bwawa la Mwalimu Nyerere ndio miradi ambayo huyo mama yenu anayotamba nayo mbele ya Wananchi
 
Anachanganya mada sana kadri siku zina yoenda sasa wenye akili tunajua amechanganyikiwa anahitaji msaada.

Leo karukia kwa Lisu kutafuta sympathy ya watanzania baada ya kuona kalikoroga tayari. Aliyemshauri polepole sijui alikuwa na malengo ya kumpoteza au alikuwa na maana gani.

Namuonea huruma sana mana kwa sasa hajui asimamie wapi amebaki kurukia chochote anachohisi watanzani watamwonea huruma. Na amejitengenezea maisha ya udigidigi tayari. His credibility imeshuka tremendously
Polepole ni mweuu
 
Mama kawachanganya sana kutoka maendeleo makubwa aliyofanya kuzidi marais wote tangu nchi ipate uhuru
Kawazidi watangulizi wake kwenye kuongeza ukubwa wa deni la taifa tuu, mengine yote sifuri!.
Imagine form 4 alipata zero, unategemea maajabu gani kwa mtu kama huyo...unless uwe chawa ndio utamuona wa maana!.
 
Akili siyo makaratsi dogo. Mbona jpm aliandikiwa phd na tulia aksoni lakini hana akili kabisa
 
Anachanganya mada sana kadri siku zina yoenda sasa wenye akili tunajua amechanganyikiwa anahitaji msaada.

Leo karukia kwa Lisu kutafuta sympathy ya watanzania baada ya kuona kalikoroga tayari. Aliyemshauri polepole sijui alikuwa na malengo ya kumpoteza au alikuwa na maana gani.

Namuonea huruma sana mana kwa sasa hajui asimamie wapi amebaki kurukia chochote anachohisi watanzani watamwonea huruma. Na amejitengenezea maisha ya udigidigi tayari. His credibility imeshuka tremendously
Sisi wasikilizaji ingependeza sana kama hoja za polepole zingejibiwa kwa hoja na siyo kumlaani kijumlajumla.Nchi hii ni yetu sote
 
Msando ameshamjibu vizuri sana otherwise kama una halo effect
 
Mama kawachanganya sana kutoka maendeleo makubwa aliyofanya kuzidi marais wote tangu nchi ipate uhuru
Taifa letu bado masikini sana...wa fikra, mali na maendeleo. Uongozi ni succession, huwezi kusema huyu kafanya kuliko yule kwa sababu yule muda wake ulikwisha akamuachia huyu
 
Anachanganya mada sana kadri siku zina yoenda sasa wenye akili tunajua amechanganyikiwa anahitaji msaada.

Leo karukia kwa Lisu kutafuta sympathy ya watanzania baada ya kuona kalikoroga tayari. Aliyemshauri polepole sijui alikuwa na malengo ya kumpoteza au alikuwa na maana gani.

Namuonea huruma sana mana kwa sasa hajui asimamie wapi amebaki kurukia chochote anachohisi watanzani watamwonea huruma. Na amejitengenezea maisha ya udigidigi tayari. His credibility imeshuka tremendously
Huyo ni lofa km malofa wengi wanaoshinda na kukesha humu JF, hao ndio wanaowapa kiburi wakati ni misukule yasiyoweza kumsaidia mtu yyte
 
Waliochanganyikiwa ni ccm, hivi kulikuwa na ulazima kutumia nguvu yote ile kwenye zoezi la uchukuzi wa fomu? unaweka wasanii, misafara ya mabasi, ma land cruiser kama yote, wasanii wa ngoma za asili na vurugu zote yote kuonyesha umma unakubalika.. shida ni nini? kama hukubaliki kubali, unalazimisha mwisho utaumbuka bure...

Jana ndipo nimeamini juhudi za HP zinazaa matunda, maana uchangamfu wa ile crowd ulikuwa 0...

Mtu anasema amejiandaa kuwa msaidizi na sio mshindani... kama si kuchanganyikiwa ni nini?
Hayo hayakuhusu kwani hawajakuomba mchango, unakerwa na nini, pilipili usisozila zakuwashia nini? Hiyo ni husda, wivu.
 
sasa wenye akili tunajua amechanganyikiwa anahitaji msaada
Hata kichaa huwa anajiona yuko timamu akiamini anaowaona mbele yake ni vichaa. .........angalia usije kuwa wewe ndo umechanganyikiwa!
 
Anachanganya mada sana kadri siku zina yoenda sasa wenye akili tunajua amechanganyikiwa anahitaji msaada.

Leo karukia kwa Lisu kutafuta sympathy ya watanzania baada ya kuona kalikoroga tayari. Aliyemshauri polepole sijui alikuwa na malengo ya kumpoteza au alikuwa na maana gani.

Namuonea huruma sana mana kwa sasa hajui asimamie wapi amebaki kurukia chochote anachohisi watanzani watamwonea huruma. Na amejitengenezea maisha ya udigidigi tayari. His credibility imeshuka tremendously
CCM ndio wamechanganyikiwa sasa na Plpl anapaswa kuwa makini kuhusu usalama wake.
 
Anachanganya mada sana kadri siku zina yoenda sasa wenye akili tunajua amechanganyikiwa anahitaji msaada.

Leo karukia kwa Lisu kutafuta sympathy ya watanzania baada ya kuona kalikoroga tayari. Aliyemshauri polepole sijui alikuwa na malengo ya kumpoteza au alikuwa na maana gani.

Namuonea huruma sana mana kwa sasa hajui asimamie wapi amebaki kurukia chochote anachohisi watanzani watamwonea huruma. Na amejitengenezea maisha ya udigidigi tayari. His credibility imeshuka tremendously
Pole pole from a respected diplomat to a digi digi hiding in a rabit hole akijificha na mtembea usiku kama rafiki yake digi digi
 
Anachanganya mada sana kadri siku zina yoenda sasa wenye akili tunajua amechanganyikiwa anahitaji msaada.

Leo karukia kwa Lisu kutafuta sympathy ya watanzania baada ya kuona kalikoroga tayari. Aliyemshauri polepole sijui alikuwa na malengo ya kumpoteza au alikuwa na maana gani.

Namuonea huruma sana mana kwa sasa hajui asimamie wapi amebaki kurukia chochote anachohisi watanzani watamwonea huruma. Na amejitengenezea maisha ya udigidigi tayari. His credibility imeshuka tremendously
Mkuu kati ya anaemfukuza chizi akiwa amevua nguo(uchi) na anayefukuzwa Akiwa amevaa nguo nan hapo kachanganyikiwa.... ambaye anaonekana chizi?
 
Anachanganya mada sana kadri siku zina yoenda sasa wenye akili tunajua amechanganyikiwa anahitaji msaada.

Leo karukia kwa Lisu kutafuta sympathy ya watanzania baada ya kuona kalikoroga tayari. Aliyemshauri polepole sijui alikuwa na malengo ya kumpoteza au alikuwa na maana gani.

Namuonea huruma sana mana kwa sasa hajui asimamie wapi amebaki kurukia chochote anachohisi watanzani watamwonea huruma. Na amejitengenezea maisha ya udigidigi tayari. His credibility imeshuka tremendously
Mental health disorders zipo za aina nyingi... Lakini dalili nyingi wanazo Watanganyika wanaowapuuzila wanaopuuzia Katiba!
 
Back
Top Bottom