Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Naona kama Mtumishi anasema "Usiniache Nteseke hivi...!"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu wa nyekundu na hy pundamilia hapo hizo nguo zao lazima zikutoe kwenye reli ya ibada
LAANA.
Hakuna watu wenye majaribu kama wahudumu wa kanisa, wanajaribiwa sana.
Majaribu ni mtaji wa kuongeza imani....
Hayazidi majaribu ya wahudumu wa bar, wale ndo balaa maana hata papa ukishika hana shida.Hakuna watu wenye majaribu kama wahudumu wa kanisa, wanajaribiwa sana.
Hayazidi majaribu ya wahudumu wa bar, wale ndo balaa maana hata papa ukishika hana shida.
Wa mazabahuni atakula mazabahuni