Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kubwa.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea na kampeni yake ya kudai mabadiliko ya sheria za uchaguzi kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, kupitia kampeni yao maarufu ya "No Reforms, No Election" katika Kanda ya Kaskazini.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche ameongoza msafara wa chama hicho akihamasisha wananchi kushiriki katika kudai mazingira huru, haki na sawa ya uchaguzi.
Leo Jumanne Mei 27, 2025, akiwa njiani kuelekea Tarakea kwa ajili ya mkutano wa hadhara, msafara wa Heche ulisimamishwa na wakazi wa Mamsera, Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro, wakitaka kumsalimia.
Ni zile zile mbinu za wiziHivi kukataza mawakala kuingia na simu kwenye chumba cha kuhesabia kura kunataka ku-justify nini?
Ili Wizi wa kura usirekodiweHivi kukataza mawakala kuingia na simu kwenye chumba cha kuhesabia kura kunataka ku-justify nini?
Mpiga picha angechuchumaa ingeonekana moguu tuMpiga picha amechuchumaa ili ionekane watu wengi, kumbe walevi wa kiboroloni wamepewa madumu ya mbege wafyatue akili
Ha haaa wanatafuta sehemu ya kufia rasmiMpiga picha amechuchumaa ili ionekane watu wengi, kumbe walevi wa kiboroloni wamepewa madumu ya mbege wafyatue akili
Kwa Taarifa yako kilimanjaro hakuna mbumbumbu wa kushabikia ujinga , pesa ya sisiem tunakula na bado tupo na chademaMpiga picha amechuchumaa ili ionekane watu wengi, kumbe walevi wa kiboroloni wamepewa madumu ya mbege wafyatue akili
Si kuingia na Simu tu hata nakala ya matokeo hawapewiHivi kukataza mawakala kuingia na simu kwenye chumba cha kuhesabia kura kunataka ku-justify nini?
Unakum uka Msoga alikamata computer za kujumuishia matokeo wakati Lowassa akigombea kupitia Chadema.Hivi kukataza mawakala kuingia na simu kwenye chumba cha kuhesabia kura kunataka ku-justify nini?
Hatari kweli. Kwamba dhamira ni kuyumbisha tarakimuUnakum uka Msoga alikamata computer za kujumuishia matokeo wakati Lowassa akigombea kupitia Chadema.
Hii ya simu wamekoleza wizi wao
Duuhh. Hatari kweli kweli.Si kuingia na Simu tu hata nakala ya matokeo hawapewi
Yaani kuna vitu vingine ukiwaza huoni any kind of justification. Hii tume hii dahHivi kukataza mawakala kuingia na simu kwenye chumba cha kuhesabia kura kunataka ku-justify nini?
Tunashukuru walevi tukiwa kwenye uboraMpiga picha amechuchumaa ili ionekane watu wengi, kumbe walevi wa kiboroloni wamepewa madumu ya mbege wafyatue akili