PreGE2025 Heche alivyopokewa Kilimanjaro kupeleka No reforms, No election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHADEMA iko kwenye mioyo ya watu na siyo kikundi kidogo cha watu wachache kama G-55. Mhe. Halima amesema kuwa CHAMA wamekijenga kwa zaidi ya miaka 20 na watu wameikubali. Nakubaliana na Mhe, Halima kwa asilimia 100.
 
Mwenyezi Mungu ambariki kaka Heche na wote waliojitoa kutoa Elimu hii. Mungu atawarudishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…