Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakati huo huo kodi zenu machawa wanakwea Boeing kwenda kuzitanulia Korea na Dodoma, watanzania wengi hamnazoKushika mimba na kujifungua siyo suala la dharura, wazazi tunapaswa kuchangia huduma za kujifungua
Kwani mke wa Chalamira anachangia?Kushika mimba na kujifungua siyo suala la dharura, wazazi tunapaswa kuchangia huduma za kujifungua
Anayo bima ya matibabuKw
Kwani mke wa Chalamira anachangia?
Serikali haitoi bure sio mnakaa serikali serikali bure bure hii serikali haitoi bure ila kupokea tu misaada inapokea bure kabisa serikali inapokea misaada ya Marekani inakula na yenyewe haihudumii wananchi sababu haitoi bure misaada ile inaenda wapi hawasemi misaada inayoletwa ikitolewa kwa mgongo wa Serikali alietoa msaada hatajwi mpaka Trump kachukia pongezi zote kwa Muheshimiwa ndio maana kuna Nchi moja ya kigeni imeona bora iende yenyewe hewani imejenga shule huko Dodoma ikasema imejenga yenyewe km msaada la sivyo bila kufanya hivyo pongezi zote zingeenda kwa MuheshimiwaKushika mimba na kujifungua siyo suala la dharura, wazazi tunapaswa kuchangia huduma za kujifungua
Piga shoo zako, tiwa mimba ujue utajifungua vipi na siyo mzigo wa serikaliWakati huo huo kodi zenu machawa wanakwea Boeing kwenda kuzitanulia Korea na Dodoma, watanzania wengi hamnazo
Ngoja kwanza,hivi mama mwenye uwezo wa kuongea na mkuu wa mkoa kwa simu yake, anaweza kukosa bima ya afya muda wa ujauzito wake? RC alaumiwe kwa kauli zake zisizolingana na utamaduni wetu.Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara), John Heche amlipua RC Chalamila kwa kauli yake iliyozua gumzo kuhusu Mama Mjamzito aliyempigia simu na kumweleza changamoto ya ukosefu wa Gloves hospitali.
Soma, Pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Hizi ni kauli za shibe......Kushika mimba na kujifungua siyo suala la dharura, wazazi tunapaswa kuchangia huduma za kujifungua