Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amevaa Makamu Mwenyekiti wa CCM Steven Wasira
Hahaaha Mzee yaani mmekua madarakani miaka 65 hamjaweza kupelekea watu barabara wala maji..
Alafu unasema Mimi miaka mitano nilishindwa? Hebu mzee wangu tuliza panic kidogo kwanza…
Hivi kwa umri wako huu wote hujui kazi ya mbunge? No wonder tuko hapa tulipo 😂.
Kwanza Niambie kwanini Bunda watu hawana maji na wewe umewahi kuwa mpaka waziri wa maji na pale ziwa look pia na mdomo..