Heche amjibu Kabudi: Nyie sio HALALI ni HARAMU kwa vile hakuna aliyewachagua

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Jana Kabudi alisema siyo vizuri kuwaita viongozi waliochaguliwa kuwa ni HARAMU bora wawaite sio viongozi HALALI.

JOHN HECHE;

Halali: Jambo au kitu kinachoruhusiwa na sheria, kanuni, au dini.

Haramu: Jambo ambalo haliruhusiwi, ni marufuku, au ni kinyume cha sheria na taratibu zilizowekwa.

Kinyume cha Halali ni Haramu.

Bwana Kabudi nyie mna uhalali gani? Nani aliewachagua?

===============
The Oxford Dictionary.
===============
The difference between Illegal (isiyo halali) and Illegitimate (haramu).

Illegal = against the law.

It means the law specifically prohibits it.

Illegitimate = not proper, not valid, unlawful, not recognized, not accepted.

“They questioned the legitimacy of the election.” → They believed it wasn't valid or properly conducted. Uchaguzi ulikuwa haramu.
 
Hawa akina Kabudi, Chenge,Lissu kibatalla, Nshalla.
Ni watu wenye akili Nyingi sana sana.
Hawa ndio walipaswa Kuimba Wimbo Mmoja Kulikomboa Taifa.

Ila wengi wao wamekubali kuwa Michawa Kuharibu Nchi na Kupelekeshwa na vilaza na Wapumbavu.

INASIKITISHA SANA.
 
Jana Kabudi alisema siyo vizuri kuwaita viongozi waliochaguliwa kuwa ni HARAMU bora wawaite sio viongozi HALALI.

JOHN HECHE;

Halali: Jambo au kitu kinachoruhusiwa na sheria, kanuni, au dini.

Haramu: Jambo ambalo haliruhusiwi, ni marufuku, au ni kinyume cha sheria na taratibu zilizowekwa.

Kinyume cha Halali ni Haramu.

Bwana Kabudi nyie mna uhalali gani? Nani aliewachagua?
Nadhani tunatofautiana kutafsiri uchaguzi. Si sahihi kuweka hitimisho la jumla kwamba hakuna aliyewachugua kwa sababu tu wewe hukushiriki uchaguzi.
 
Mzee ameonyesha yanayoendelea ndani na nje yanaumiza
Kaonyesha kumbe kuitwa haramu kunawaumiza, hasa Samia ambaye ni mwanamke tena muislam kuitwa haramu kinamuumiza zaidi.
 
Ameitoa hadharani nasi tumeweza kufahamu
 
Jana Kabudi alisema siyo vizuri kuwaita viongozi waliochaguliwa kuwa ni HARAMU bora wawaite sio viongozi HALALI.

JOHN HECHE;

Halali: Jambo au kitu kinachoruhusiwa na sheria, kanuni, au dini.

Haramu: Jambo ambalo haliruhusiwi, ni marufuku, au ni kinyume cha sheria na taratibu zilizowekwa.

Kinyume cha Halali ni Haramu.

Bwana Kabudi nyie mna uhalali gani? Nani aliewachagua?

===============
The Oxford Dictionary.
===============
The difference between Illegal (isiyo halali) and Illegitimate (haramu).

Illegal = against the law.

It means the law specifically prohibits it.

Illegitimate = not proper, not valid, unlawful, not recognized, not accepted.

“They questioned the legitimacy of the election.” → They believed it wasn't valid or properly conducted. Uchaguzi ulikuwa haramu.
Athari za kisaikolojia za kususia uchaguzi hujidhihirisha zenyewe tu tena mchana kweupe bila hata kuvuta bangi 🐒
 
Msimamo wako ni upi, Samia sio rais halali au ni haramu. Kabudi yeye kasema Samia sio rais halali wewe unasemaje.
 
msimamo wangu ni ule ule tu gentleman kwamba,
athari za kisaikolojia kwa wasusia uchaguzi hujidhihirisha zenyewe tu mchana kweupe,

so,
kuepuka athari za fedheha kama hizo, ni vizuri kuepuka kufuata mkumbo nonsense kama kususia uchaguzi 🐒
 
Nadhani tunatofautiana kutafsiri uchaguzi. Si sahihi kuweka hitimisho la jumla kwamba hakuna aliyewachugua kwa sababu tu wewe hukushiriki uchaguzi.
Tupe ufafanuz angalau ambao hatuelew ili tuelewe.. vurugu zilianza majira ya saa tano asubuh je kura zilipigwa mda gan na kuhesabiwa mda gan pia kuna clip za masanduku ya kura vijana wakiyatapanya barabaran...
 
Kwa hiyo mlifanikiwa......?
 
Mbona huku Njombe watu walipiga kura kwa amani na hakukuwa na vurugu, ina maana kura zao hazikuhesabika?
 
Jana Kabudi alisema siyo vizuri kuwaita viongozi waliochaguliwa kuwa ni HARAMU bora wawaite sio viongozi HALALI.

JOHN HECHE;

Halali: Jambo au kitu kinachoruhusiwa na sheria, kanuni, au dini.

Haramu: Jambo ambalo haliruhusiwi, ni marufuku, au ni kinyume cha sheria na taratibu zilizowekwa.

Kinyume cha Halali ni Haramu.

Bwana Kabudi nyie mna uhalali gani? Nani aliewachagua?

===============
The Oxford Dictionary.
===============
The difference between Illegal (isiyo halali) and Illegitimate (haramu).

Illegal = against the law.

It means the law specifically prohibits it.

Illegitimate = not proper, not valid, unlawful, not recognized, not accepted.

“They questioned the legitimacy of the election.” → They believed it wasn't valid or properly conducted. Uchaguzi ulikuwa haramu.
Bastard used to be a not nice thing you called a child whose parents weren't married. But now it's a more general insult hurled toward a jerk or bad person. Bastard can also simply mean "fraudulent." Illegitimate
 
Back
Top Bottom