Nadhani tunatofautiana kutafsiri uchaguzi. Si sahihi kuweka hitimisho la jumla kwamba hakuna aliyewachugua kwa sababu tu wewe hukushiriki uchaguzi.Jana Kabudi alisema siyo vizuri kuwaita viongozi waliochaguliwa kuwa ni HARAMU bora wawaite sio viongozi HALALI.
JOHN HECHE;
Halali: Jambo au kitu kinachoruhusiwa na sheria, kanuni, au dini.
Haramu: Jambo ambalo haliruhusiwi, ni marufuku, au ni kinyume cha sheria na taratibu zilizowekwa.
Kinyume cha Halali ni Haramu.
Bwana Kabudi nyie mna uhalali gani? Nani aliewachagua?
aliacha akili zake jaralani kule alipoibuliwa na MaguKabudi apuuzwe tu akili zake zimehamia tumboni
Kaonyesha kumbe kuitwa haramu kunawaumiza, hasa Samia ambaye ni mwanamke tena muislam kuitwa haramu kinamuumiza zaidi.Mzee ameonyesha yanayoendelea ndani na nje yanaumiza
Ameitoa hadharani nasi tumeweza kufahamuKaonyesha kumbe kuitwa haramu kunawaumiza, hasa Samia ambaye ni mwanamke tena muislam kuitwa haramu kinamuumiza zaidi.
Athari za kisaikolojia za kususia uchaguzi hujidhihirisha zenyewe tu tena mchana kweupe bila hata kuvuta bangi 🐒Jana Kabudi alisema siyo vizuri kuwaita viongozi waliochaguliwa kuwa ni HARAMU bora wawaite sio viongozi HALALI.
JOHN HECHE;
Halali: Jambo au kitu kinachoruhusiwa na sheria, kanuni, au dini.
Haramu: Jambo ambalo haliruhusiwi, ni marufuku, au ni kinyume cha sheria na taratibu zilizowekwa.
Kinyume cha Halali ni Haramu.
Bwana Kabudi nyie mna uhalali gani? Nani aliewachagua?
===============
The Oxford Dictionary.
===============
The difference between Illegal (isiyo halali) and Illegitimate (haramu).
Illegal = against the law.
It means the law specifically prohibits it.
Illegitimate = not proper, not valid, unlawful, not recognized, not accepted.
“They questioned the legitimacy of the election.” → They believed it wasn't valid or properly conducted. Uchaguzi ulikuwa haramu.
Sawa, tuseme walichaguliwa na watu laki 2 kati ya wapigakura 32m.Nadhani tunatofautiana kutafsiri uchaguzi. Si sahihi kuweka hitimisho la jumla kwamba hakuna aliyewachugua kwa sababu tu wewe hukushiriki uchaguzi.
Msimamo wako ni upi, Samia sio rais halali au ni haramu. Kabudi yeye kasema Samia sio rais halali wewe unasemaje.Athari za kisaikolojia za kususia uchaguzi hujidhihirisha zenyewe tu tena mchana kweupe bila hata kuvuta bangi 🐒
msimamo wangu ni ule ule tu gentleman kwamba,Msimamo wako ni upi, Samia sio rais halali au ni haramu. Kabudi yeye kasema Samia sio rais halali wewe unasemaje.
Tupe ufafanuz angalau ambao hatuelew ili tuelewe.. vurugu zilianza majira ya saa tano asubuh je kura zilipigwa mda gan na kuhesabiwa mda gan pia kuna clip za masanduku ya kura vijana wakiyatapanya barabaran...Nadhani tunatofautiana kutafsiri uchaguzi. Si sahihi kuweka hitimisho la jumla kwamba hakuna aliyewachugua kwa sababu tu wewe hukushiriki uchaguzi.
Kwa hiyo mlifanikiwa......?Tupe ufafanuz angalau ambao hatuelew ili tuelewe.. vurugu zilianza majira ya saa tano asubuh je kura zilipigwa mda gan na kuhesabiwa mda gan pia kuna clip za masanduku ya kura vijana wakiyatapanya barabaran...
Nimeuliza swali tafadhali jibu swali kwanza...Kwa hiyo mlifanikiwa......?
Bastard used to be a not nice thing you called a child whose parents weren't married. But now it's a more general insult hurled toward a jerk or bad person. Bastard can also simply mean "fraudulent." IllegitimateJana Kabudi alisema siyo vizuri kuwaita viongozi waliochaguliwa kuwa ni HARAMU bora wawaite sio viongozi HALALI.